Mabingwa wa kombe la dunia 2014 timu ya Ujerumani imeshika namba moja katika msimamo wa viwango vya FIFA vilivyotolewa leo (July 17), ambapo Argentina ni ya pili, na Uhoanzi ni ya tatu.
Ujerumani wamechukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Hispania ambayo imeporomoka hadi namba 8. Ureno iko namba 11, Italia namba 14 na Uingereza ni ya 20.
Hizi ni timu 10 zilizoshika nafasi za juu katika viwango vya FIFA .
1. Ujerumani (+1)
2. Argentina (+3)
3. Uholanzi (+12)
4. Colombia (+4)
5. Ubelgiji (+6)
6. Uruguay (+1)
7. Brazil (-4)
8. Spain (-7)
9. Uswisi (-3)
10. Ufaransa (+7)
Afrika mashariki na Kati
87. Uganda (-1)
95. Kenya (+13)
96. DRC (-12)
106. Tanzania (+7)
109. Rwanda (+7)
126. Burundi (+2)