UPDATES: MELI YA MIZIGO YAZAMA KWENYE ZIWA LA VICTORIA
Meli ya mizigo iliyokuwa inatoka Bukoba kwenda Mwanza, ikiwa na wafanyakazi kumi na shehena ya sukari, imezama ziwa victoria katikati ya visiwa vya Kerebe na Bumbile.KWA HABARI ZAIDI ENDLEA...
View ArticleMTU MMOJA ALIYEHUKUMIWA KIFO KWA KUNYONGWA AMEPONEA CHUPUCHUPU BAADA YA...
Balal alimuua kwa kumdunga kisu Abdollah Hosseinzadeh miaka saba iliyopita. Mtu mmoja aliyehukumiwa kifo kwa kunyongwa nchini Iran baada ya kupatikana na hatia ya mauaji, ameponea chupuchupu baada ya...
View ArticleMAGARI MAWILI YAGONGANA MAFIATI MKOANI MBEYA
Wakazi wa eneo la Mafiati, Mkoani Mbeya wakishuhudia ajali iliyotokea katika eneo hilo baada ya magari madogo mawili moja likiwa ni Mazda yenye namba za usajili T935 BJP na gari nyingine Toyota Gaia...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL 19, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI
ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMSAADA WAKO UNAHITAJIKA BINTI HUYU ANATESEKA SANA
Asha Manga anayesumbuliwa na uvimbe kwenye taya unaoendelea kukua kila siku.Asha Manga ,25, mkazi wa Tarafa ya Turiani Wilaya ya Mvomero mjini, anaumwa sana kwani anasumbuliwa na uvimbe kwenye taya...
View ArticleDAWA YA WAHALIFU MKOANI TABORA SASA YAPATIKANA
RPC Tabora Suzan Kaganda - ACP akiwaonesha waandishi wa habari maganda ya risasi 2256 aina ya SMG yaliyokuwa yametelekezwa na wahalifu. Maganda ya risasi ambayo yalitelekezwa yakiwa katika mfuko wa...
View ArticlePICHA YA LEO: HII NI BARABARA YA HUKU KWETU WAHUSIKA MNAIONA?
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMWANAMUZIKI MAARUFU WA SKYLIGHT BAND MAREHEMU CHILL CHALLA AZIKWA JANA JIJINI...
Waombolezaji wakiwa msibani Jana kushoto mwenye tisheti nyeusi ni Mratibu wa Skylight Band.Mpiga Gita mahiri wa bendi ya Skylight Chill challa amezikwa jana kwenye makaburi ya Mwananyamala kwa kopa na...
View ArticleBALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE WAWASILI COLUMBUS, OHIO
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio wakijiandaa kuelekea uwanja wa ndege wa Columbus, Ohio kumpokea Mhe. Liberata Mulala atakaye kuwa mgeni rasmi kwenye fundraising Dinner...
View ArticleMAASKARI NCHINI CHINA WAKAMATA MAKOMBE FEKI ZAIDI YA 1000 YA KOMBE LA DUNIA
Wakati ziara ya dunia ya kikombe halisi cha kombe la dunia ikiendelea kabla ya kukabidhiwa kwa mmiliki wake mpya ambaye ni mshindi wa mwaka huu huko Brazil, maafisa wa China wamekamata makombe feki ya...
View ArticleVIONGOZI WA JUMUIYA COLUMBUS, OHIO WAMFANYIA DINNER BALOZI LIBERATA MULAMULA...
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na katibu wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio Bi. Happiness Salukele wakiwemo wajumbe wa Jumuiya Nasra Murumah, Chiseko...
View ArticleFAMILIA KITCHEN PARTY GALA SASA NI NDANI YA MWANZA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMECHI YA SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE
Mshambuliaji wa timu ya Yanga , Hamis Kiiza (kulia) akiwania mpira na beki wa timu ya Simba, Nassor Masoud, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam .hadi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI APRIL 20, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA LIGI YA UINGEREZA KWA MECHI ZILIZOCHEZWA JANA PAMOJA...
ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTIMU YA AZAM FC YATWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA
Wachezaji wa Azam FC wakiongozwa na nahodha wa timu hiyo John Boko wakati wa kupokea Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara. Wachezaji wa Azam FC, wakishangilia Ubingwa wao. ENDELEA...
View ArticleYALIYOJIRI KWENYE KITCHEN PARTY GALA MKOANI MWANZA
Wanawake wa Mwanza wamepata nafasi ya kuongea na Mama Victor,Aunt Sadaka na Getrude Mongela katika Familia Kitchen Party Gala. Shughuli imefanyika leo Jumamosi tarehe 19,katika ukumbi wa Gold Crest...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAPILI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleIKULU YA MAREKANI YATUPILIA MBALI OMBI LA KUFUKUZWA KWA JUSTIN BIEBER
Hatimaye ikulu ya Marekani imejibu ombi lililosainiwa na zaidi ya watu 273,000 waliotaka Justin Bieber afukuzwe nchini Marekani na kurudishwa kwao Canada. Watu hao walichukua uamuzi huo kwa madai kuwa...
View Article