RPC Tabora Suzan Kaganda - ACP akiwaonesha waandishi wa habari maganda ya risasi 2256 aina ya SMG yaliyokuwa yametelekezwa na wahalifu.
Maganda ya risasi ambayo yalitelekezwa yakiwa katika mfuko wa manira.
Kamanda wa Polisi mkoa waTabora Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzan Kaganda jana tarehe 18/04/2014 amefanya Mkutano na waandishi wa habari, na kuzungumzia mambo mbalimbali hasa mafanikio yaliyopatikana katika Operesheni zinazoendelea mkoani Tabora ambapo wahalifu wa makosa mbalimbali yamekamatwa na watuhumiwa kufikishwa mahakamani.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
RPC tabora akiwaonesha waandishi wa habari katika Press Conferences leo bunduki aina ya gobore ambayo alikamatwa nayo mtuhumiwa
RPC Tabora Suzan Kaganda - ACP akiwafafanulia waandishi wa habari juu ya pikipiki zilizokamatwa na Polisi baada ya Kuporwa na wahalifu
RPC Tabora Suzan Kaganda - ACP akiwafafanulia waandishi wa habari juu ya pikipiki zilizokamatwa na Polisi baada ya Kuporwa na wahalifu. Picha na habari na DC Fakih Abdul wa ofisi ya Kamanda mkoa wa Tabora.