$ 0 0 Meli ya mizigo iliyokuwa inatoka Bukoba kwenda Mwanza, ikiwa na wafanyakazi kumi na shehena ya sukari, imezama ziwa victoria katikati ya visiwa vya Kerebe na Bumbile.KWA HABARI ZAIDI ENDLEA KUTUFUATILIA