Wachezaji wa Azam FC wakiongozwa na nahodha wa timu hiyo John Boko wakati wa kupokea Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.
Wachezaji na mashabiki wakishangilia ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara.
Nahodha wa Azam FC, John Boko akiwa ameshika Kombe la Ubingwa wa Ligi ya Soka Tanzania Bara.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia.
Mashabiki wa Azam FC wakishangilia.
PICHA NA FRANCIS DANDE