Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MECHI YA SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE

$
0
0
Mshambuliaji wa timu ya Yanga , Hamis Kiiza (kulia) akiwania mpira na beki wa timu ya Simba, Nassor Masoud, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam .hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba.
Mshamuliaji wa pembeni wa timu ya Yanga,Simon Msumva (kulia) akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Simba, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Hadi mwisho wa mchezo,matokeni Yanga 1-1 Simba.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Mshambuliaji wa timu ya Yanga Didier Kavumbagu (katikati) akiwatoka mabeki wa timu ya Simba katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Wachezaji wa timu ya Yanga,wakishangilia goli lao la kusawazisha.
 Ulinzi ulikuwa ni wa kutosha
 Mashabiki wa Yanga
 Mashabiki wa Simba wakifuatilia kinachoendelea

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>