MKE WA RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA KAMPUNI YA VIPIMO NA MATIBABU YA SARATANI...
Mke wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete akiwa na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dodoma walipokuwa kwenye uzinduzi wa kampeni ya vipimo na tiba kwa ajili ya ugonjwa wa Saratani ya Shingo ya...
View ArticleSIKILIZA NA DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA D. MANYUTI “BODA BODA” HAPA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleYALEYALE YA 2010
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKONGAMANO LA WAKUU NA WAMILIKI WA VYUO VYA UFUNDI STADI KANDA YA DAR ES...
Mgeni rasmi Sarah Shibelea akifungua kongamano Kaimu Mkurugenzi wa VETA mkoa wa Dar es Salam Mrs.Bernadeta Ndunguru akisisitiza jambo baada ya mgeni rasmi kumaliza kufungua kongamano ENDELEA KUSOMA...
View ArticleMWANAMKE WA KIGHANA AKAMATWA NA KILO 10 ZA HEROIN AKITOKEA TANZANIA
Mfanyabiashara mwanamke wa Kighana (pichani) amekamatwa na kilo 10 za Heroin wakati akitokea Tanzania. Mercy Agyeman Prempeh (36) amekamatwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Kotoka wakati...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS APRIL 17, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA UINGEREZA KWA MECHI ZILIZOCHEZWA JANA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAARIFA KUHUSU MJENGWABLOG KUTOKUWA HEWANI
NDUGU ZANGU, MJENGWABLOG HAIKO HEWANI TANGU JANA SAA TATU USIKU. NI KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI KWENYE DATA CENTRE NCHINI MAREKANI ZINAKOHIFADHIWA. WAHUSIKA WALIOKO KWENYE DATA CENTRE WANAFANYA...
View ArticleWATU WATATU WANASHIKIRIWA NA POLISI BAADA YA KUKAMATWA NA BANGI NDANI YA BASI...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia abiria wa tatu waliokuwa wakisafiri na Basi la New Force kutoka Kahama kuelekea Jijini Dar es Salaam.Kwa Mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David...
View ArticleLEO NI KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA TANGU BI KIDUDE AFARIKI DUNIA
Leo April 17, kifo cha aliyekuwa mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Taarab nchini, Fatuma binti Baraka maarufu kama Bi. Kidude kimetiza mwaka mmoja.Bi. Kidude alifariki kutokana na kusumbuliwa na maradhi...
View ArticleMWANAMKE AGONGWA NA DALADALA ENEO LA URAFIKI JIJINI DAR
Mwanamkemmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa ni mkazi wa Dar leo asubuhi aligongwa na gari aina ya Toyota Coaster inayofanya shughuli za daladala kwenye barabara za Morogoro jijini...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MIAKA 6 YA MAREHEMU ANTHONY SAIMON NJEJE
Marehemu Anthony Simon Njeje Enzi za uhai wake *******Ni miaka Sita sasa imepita tangu ulipo enda kwenye makao ya kudumu.Hatupo nawe kimwili lakinii kiroho upo nasi daima. Tunakukumbuka sana Baba yetu...
View ArticleMWANAFUNZI WA IFM AKAMATWA NA BHANGI KILOGRAM 233.5. MKOANI DODOMA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David A. Misime - SACP akiongea na wanahabari Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watu watatu kwa kosa la Kupatikana na Bhangi kiasi cha Kilogramu 133.5 yenye...
View ArticleMPIGA GITAA SKYLIGHT BAND CHIRI CHALLA AFARIKI GHAFLA
Mpiga Gitaa wa Skylight Band maarufu kwa jina la Chiri Challa(pichani) amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia April 17 katika Hospitali ya Muhimbili.Taarifa za awali zimethibitishwa na uogonzi wa...
View ArticleYALIYOJIRI LEO KWENYE BUNGE LA KATIBA BUNGENI DODOMA
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu Mhe.Samia Suluhu akiwa anafuatilia mchango wa Mhe.William Lukuvi kwa makini.Hali ya hewa yarejea kuwa ya kawaida bunge maalum la katiba mjini Dodoma leoENDELEA...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA APRIL 18, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleCHANGIA HILMY DISABILITY CHARITY ORGANISATION
Kwa wale wote wanaotembelea ukurasa huu tunawaomba kuchangia WATOTO wenye ulemavu Zanzibar. Kwa MTU yoyote mwenye MOYO wa kuchangia Standing Order kwa ACC 63972496. Sote 20.42.76. Jina: Hilmy Shawwal...
View ArticleJIFUNZE KUONGEZA UWEZO WAKO WA KUONGOZA
1. Wape Changamoto ya unawaongoza kutokubaliana na kila kitu unachosemaMakampuni yanapata shida kwa sababu kila mtu anaogopa kuongea ukweli wa mambo. Mabosi huwa hawapendi kuambiwa ukweli wanataka...
View ArticleBUNGE LA KATIBA MPYA SHAKANI
“Ni kweli kwamba kutokuwapo kwao kunaweza kuwa na athari katika kufanya uamuzi, lakini pia hatuwezi kusema ni athari zipi kwa sasa kwa sababu hakuna suala ambalo linapaswa kufanyiwa uamuzi kwa...
View ArticleTAHADHARI YA MVUA KUBWA NA UPEPO MKALI KATIKA BAADHI YA MAENEO YA NCHI...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View Article