Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKWELI KUHUSU KITUO KIPYA CHA REDIO, 93.7 FM DAR ES SALAAM

Fundi wa Ujerumani akijaribu mitambo kwenye studio za kituo hicho cha redio kilichopo Kawe, DarKatika kile kinachoonekana ujio wa redio mpya jijini Dar es Salaam, uvumi umeanza kusambaa juu ya kituo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA MATOKEO PAMOJA NA MSIMAMO WA LIGI YA UINGEREZA KWA MECHI ZILIZOCHEZWA...

 ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO PAMOJA NA MSIMAMO KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO 6 YANAYOMFANYA MTU AWE KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI

 Tukiacha mbali picha ambayo mara nyingi au kwa miaka mingi imekuwa ikijengwa  vichwani mwa wengi wanapoona na kudhani kwamba fulani ni kiongozi bora [pengine kwa muonekano tu], au kwa sababu anashuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAPILI

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI MKOA WA NJOMBE YAFANA KATIKA VIWANJA VYA MABEHEWANI

Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akipata maelekezo kwenye banda la idara ya maji kuhusu bili za maji, katika wiki ya maji kimkoa katika viwanja vya mabehewani Makete mjini. Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KWENYE MECHI YA YANGA NA RHINO JANA MKOANI TABORA

Kikosi cha timu ya Yanga SC kilichoanza siku ya jana dhidi ya Rhino Rangers, katika Dimba la Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.Kikosi cha Rhino Rangers kilichoanza siku ya jana dhidi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: WATU WAWILI WAUAWA KANISANI KENYA

 Baadhi ya waumini wa Kanisa la Joy Jesus wakiwa nje ya kanisa baada ya shambulio hilo.WATU wawili wameuawa wakati wengine kumi wakijeruhiwa baada ya mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki kuwafyatulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DMV YAFANYA MISA YA KUMBUKUMBU NA KUOMBOLEZA KIFO CAROLINE MWAISELAGE DMV

Misa ya kumbukumbu iliyofanyika siku ya Jumamosi March 22, 2014 College Parka Maryland kwa ajili ya maerehemu Caroline Mwaiselage aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani aliyekutwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA DODOMA DR REHEMA NCHIMBI AMEZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA...

 Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akisalimiana na wanafunzi wa shule ya msingi Chididimo waliojitokeza kumlaki alipowasili kijijini hapo kuzindua mradi wa maji kijijini hapo jana. Mkuu wa mkoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABOMU YA MACHOZI YARINDIMA NZEGA KUTULIZA MAANDAMANO YA WACHIMBAJI WADOGO...

Wachimbaji wakiandamana leo wilayani Nzega mkoani Tabora.Jeshi  la polisi wilayani Nzega mkoani Tabora limetumia nguvu kusambaratisha maandamano ya wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu yaliyolenga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU MARCH 24, 2014

Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa  na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ZIARANI MKOA WA TANGA, AZINDUA MRADI WA MAJI MKATA, AGAWA MADUME...

Chipukizi wa Mkoa wa Tanga wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika tarafa ya Mkata, wilayani Handeni mkoa wa Tanga, Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA PAMOJA NA MSIMAMO...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

REAL MADRID YAKUBALI KICHAPO CHA MABAO 4 -3 KUTOKA KWA BARCELONA

Lionel Messi akifunga katikati ya msitu wa wachezaji wa Real Messi akiwanyooshea kidole mashabiki wa Barcelona baada ya kufunga, huku Gerard Pique (katikati) na Alexis Sanchez wakimfuataJavier...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDEGE YA MALAYSIA ILIRUKA CHINI YA FUTI 12,000

Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia, Warren Truss, kulia, akizungumza na ofisa wa juu ya kikosi cha uokoaji na mratibu wa operesheni ya kuitafuta ndege iliyopotea, John Rice.Wataalamu wa Rada wakiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJIA 15 ZA KUMFANYA MTEJA APENDE HUDUMA YAKO

Na Mark Rose MsemwaMpendwa msomaji, fahamu kwamba kila mtu ni sehemu ya biashara na biashara ni mtego; Anayetegwa ni mteja. mtego ni wewe na taaluma yako. Na chambo ni huduma yako. Huu ni muendelezo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA OSCAR PISTORIUS KUENDELEA HADI MAY 16

Kesi ya mauaji ya mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius imeongezwa muda na sasa itasikilizwa hadi May 16 kwenye mahakama kuu ya Pretoria.Pistorius alimpiga risasi na kumuua mpenzi wake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADEREVA WA DALADALA WAGOMA NA KUANZA KUCHEZA MPIRA NDANI YA STEND HUKO MOSHI

Kituo kikuu cha mabasi yaendayo sehemu mbalimbali ndani ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha ikiwa haina gari baada ya wamiliki wa magari yaendyo maeneo hayo kugoma kutoa huduma.Kutokana na mgomo huo ndipo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEMBA ILIYOBOMOKA ENEO LA MWENGE YAWA KERO KWA WATUMIAJI WA BARABARA...

Chemba iliyobomoka  ikiwa wazi maeneo ya MwengeHapa ni chemba Hiyo ambayo ipo wazi na pembeni ya barabara ya mwenge kukunja kuelekea mama ngomaENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINIMawe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MAMA MRS AURELIA FRANCIS NSOLO DMV

Picha ya marehemu mama Mrs Aurelia Francis Nsolo aliyefariki Marcha 17, 2014 Tanzania na kufanyika misa ya kumbukumbu College Park, Maryland. siku ya Jumapili March 23, 2014. Picha kwa hisani ya...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>