Picha ya marehemu mama Mrs Aurelia Francis Nsolo aliyefariki Marcha 17, 2014 Tanzania na kufanyika misa ya kumbukumbu College Park, Maryland. siku ya Jumapili March 23, 2014. Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog
Wachungaji walioongoza misa hiyo wakiiombea familia ya marehemu kwenye misa ya kumbukumbu ya marehemu mama Mrs Aurelia Francis Nsolo iliyofanyika College Park, Maryland siku ya Jumapili March 17, 2014.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Alex Missano (kushoto) na Mrs Idd Shah wakifuatilia misa ya kumbukumbu ya marehemu mama yao mpendwa iliyofanyika College Park siku ya Jumapili March 23, 2014.
Mama Lulu na BJ Mazali nao wakifuatilia misa.
Meza waliyokaa familia ya marehemu kutoka kushoto ni Francis Nsolo, Lulu Kasinya, Alex Missano, Mrs Idd Shah, Mama Lulu, BJ Mazali na Lizzie Mazali.
Watanzania na marafiki zao waliojumuika na wafiwa wakifuatilia misa.
Watanzania waliojumuika na wafiwa kwenye misa ya kumbukumbu ya marehemu Mrs Aurelia Francis Nsolo iliyofanyika College Park, Maryland.