Kikosi cha timu ya Yanga SC kilichoanza siku ya jana dhidi ya Rhino Rangers, katika Dimba la Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.
Kikosi cha Rhino Rangers kilichoanza siku ya jana dhidi ya Yanga.
Nadir Haroub "Cannavaro" - 23 akipambana na wachezaji wa Rhino Rangers.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi (kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa Rhino Rangers.
Wachezaji wa Young Africans wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na Jerrson Tegete katika Dimba la Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.
Makocha wa Timu ya Yanga wakiongea jambo.
PICHA NA RICHARD BUKOS