NDEGE YA MALAYSIA ILIANGUKA BAHARINI
Shirika la ndege la Malaysia limewaambia jamaa na familia za abiria waliokuwa wanasafiri kwa ndege iliyotoweka MH370 kwamba ndege hiyo imepotea na kwamba hakuna manusura.Tangazo hilo limetolewa kwa...
View ArticleTASWIRA MBALIMBALI KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimwapisha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda (kulia) kuwa mjumbe wa Bunge hilo, Bungeni Mjini Dodoma Machi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE MARCH 25, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleWATENDAJI DAR WAASWA KUSHIRIKIANA ILI KUWEKA JIJI KATIKA HALI YA USAFI
Meneja Huduma Maji taka kutoka Dawasco, Mathias Mulagwande (mwenye suti ya damu ya mzee) akinyoosha kidole kumuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (wa pili kulia) sehemu korofi za...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMANNE
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA ORODHA YA MAWAKALA WA REDDS MISS TANZANIA 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleBREAKING NEWS: MKUU WA MKOA WA MARA MHE JOHN TUPA AFARIKI DUNIA WILAYANI...
Mkuu wa mkoa wa Mara Mhe. John Gabriel Tupa (pichani, enzi za uhai wake) amefariki dunia asubuhi ya leo akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Tarime. Habari zilizothibitishwa zinasema Marehemu Tupa...
View ArticleWATATU WADAKWA NA MADAWA YA KULEVYA, NYAYA YA TTCL MKOANI LINDI
Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi,Kamishna msaidizi Renatha MzingaWatuhumiwa wakiwa mikononi mwa polisi ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINIWaya zilizokamatwa kwa mtuhumiwa Abdul Mahamud...
View ArticleBASATA WAONDOA NYIMBO YA MADEE, SNURA NA JUX SHINDANO LA KTMA, MADEE ANENA LA...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) leo limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania. Akiongea na waandishi wa habari, Kaimu Katibu Mtendaji...
View ArticleMAENDELEO YA UJENZI WA MRADI WA DARAJA LA KIGAMBONI
Meneja wa Mradi wa ujenzi wa daraja la Kigambonio Bw. Lin Tao kutoka kampuni ya China Railway Construction Engineering Group and Major Bridge Co. Ltd (CRCEG-MBEC JV) akionesha jinsi ambavyo daraja...
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleOXFAM YAZINDUA MKAKATI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA TABIA NCHI KWA WAKULIMA
Kutoka Kushoto ni Marc Wegerif ambaye ni Economic Justice Campaign , Fazal Issa Afisa wa Miradi na Eluka Kibona Meneja wa Ushawishi Wote kutoka OXFAMMeneja wa Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona...
View ArticleMALAYSIA AIRLINES YATOA TSHS MILIONI 8 KWA WAFIWA KWA KILA ABIRIA ALIYEKUWA...
Waziri mkuu wa Malaysia, Najib Razak akizungumza na vyombo vya habari baada ya kupata habari ya ndege ya Malaysia imeanguka kwenye bahari ya Hindi.Shirika la ndege la Malaysia Airlines leo Jumanne...
View ArticleCHUO CHA VETA CHATAMBULISHA MRADI WA USHIRIKIANO KATI YAKE NA UJERUMANI...
Meneja Mradi wa "German Dual System Apprenticeship"(katikati) Martin Mac Mahon akizungumzia juu ya mradi ambao German wameshirikiana na Chuo cha VETA nchini katika kuhakikisha wanaboresha maswala ya...
View ArticleMICHAEL AGUSTINE LUKINDO MTANZANIA ALIYEFARIKI WISCONSIN WANATAFUTWA NDUGU...
Michael Agustine Lukindo enzi ya uhai wake.Kuna Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, wanatafutwa ndugu zake. ni mtu wa Tanga Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO MARCH 26, 2014
Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA JUMANNE
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWARIOBA AFUNGUKA,ATOA UFAFANUZI WA HOJA ZA TAARIFA YAKE
Afafanua utata ulioibuliwa katika taarifa yake mbele ya Bunge la Katiba.Wakati Ikulu ikitangaza kwamba Rais Jakaya Kikwete amevunja Tume ya Mabadiliko ya Katiba, tume hiyo imetoa ufafanuzi wa baadhi ya...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMATANO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleDARAJA LASOMBWA NA MAFURIKO MKOANI RUVUMA
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiwa katika daraja la Chimate ambalo mbao zake zimeoza na kupelekea kuhatarisha usalama wa watumiaji wa Daraja hilo katika Wilaya ya Nyasa. Ametoa agizo kwa...
View Article