Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA MARCH 21, 2014

Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa  na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUFUFUA KIWANDA CHA MATAIRI CHA GENERAL TYRE

Timu ya wakaguzi wa miradi wa maendeleo wakiangalia mitambo ya kiwanda cha matairi cha General Tyre jijini ArushaKatibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dk.. Philip Mpango (mwenye suti nyeusi) akioneshwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITAMBUE NDEGE NNE ZILIWAHI KUPOTEA TANZANIA

Wananchi wakiangalia ndege ya Ethiopian Airlines ikiwa katika Uwanja wa Ndege wa Arusha, baada ya kushuka kwenye uwanja huo mdogo kimakosa hivi karibuni. Picha ya Maktaba Wakati tukio la kupotea kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PISTORIUS KUUZA NYUMBA YAKE YA KIFAHARI

 Nyumba ya kifahari ya Oscar PistoriusMwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorious atauza nyumba yake ili aweze kumudu gharama ya kesi ya mauaji inayomkabili.Hii ni kwa mujibu wa wakili wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI NDIZO NDEGE SITA ZILIZOWAHI KUPOTEA DUNIANI ZITIZAME HAPA

1. Amelia Earhart - 1937Rubani wa Kimarekani, Amelia Earhart alikuwa mwanamke wa kwanza kuvuka Bahari ya Atlantic kuchunguza dunia, alipotea na ndege yake miongo saba iliyopita. Inahisiwa kuwa ndege...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIOMBE YAKAKUKUTA KAMA HAYA NA UKO KWENYE FOLENI

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: DRAW YA ROBO FAINALI YA EUFA CHAMPIONS LEAGUE YAPANGWA MAN U KUCHEZA...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS:LORI LAGONGA MAGARI MATANO ENEO LA UBUNGO JIJINI DAR

Wasamalia wema wakijaribu kuwatoa abiria waliokuwa kwenye daladala ya kampuni ya UDA baada ya roli kuligonga gari ilo eneo la ubungo terminar . Ajali hii imetokea bada lori la mizigo limefeli break na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA LIVE KUTOKA KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA HAPA MSIKILIZE DR...

TAZAMA HAPA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKILIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA MKOANI DODOMA JIONI HII.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYABIASHARA AUAWA KWA KUPIGWA JIWE KICHWANI HUKO TABORA

Hili ndilo jiwe alilopigwa nalo mfanyabiashara  wa vipuri vya pikipiki mjini Tabora marehemu Michael  Samson  na kupasua eneo kubwa la sehemu ya kichwa na kufariki papo hapo katika Bar ya Uhuru iliyopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MBALIMBALI WAKATI RAIS KIKWETE ALIPOKUWA ANAHUTUBIA BUNGE MAALUM LA...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo. Rais Kikwete akihutubia wajumbe wa Bunge Maalum Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Jaji Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MARCH 22, 2014

Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa  na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKILIZA AUDIO YA HOTUBA YA RAIS JAKAYA KIKWETE KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA...

Rais Kikwete akiwahutubia wajumbe wa bunge la katibaPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO WATEKETEZA SEHEMU YA HOTELI YA PICOLO BEACH

Hizi ni taswira za sehemu ya Hoteli ya Pecolo Beach iliyopo Kawe jijini Dar iliyoteketea kwa moto jana mchana. Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa ni shoti ya umeme iliyoanzia kwenye nguzo iliyopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI

 ENDELEA KUTIZAMA MECHI NYINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJIA 15 ZA KUMFANYA MTEJA APENDE HUDUMA YAKO

By Mark Rose MsemwaKatika maisha ni lazima pande hizi mbili uzitumikie, kuwa kuna wakati utakuwa mteja na kuna wakati utakuwa mhudumu, iwe unajua au hujui ila hivyo ndivyo ilivyo na huna namna ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKWETE ‘AVURUGA’ MJADALA

Rais Jakaya Kikwete akilihutubia Bunge Maalumu la Katiba, mjini Dodoma jana. Picha na Michael Jamson Rais Jakaya Kikwete jana alibadili upepo wa mchakato mzima wa Katiba baada ya kutoa maoni yake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHINA YASEMA IMEONA KITU KAMA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA KATIKA BAHARI YA...

 Picha iliyotolewa na vyombo vya habari vya China vikionyesha kitu kipya kilichogunduliwa na satellite za nchi hiyo kikielea katika Bahari ya Hindi ambacho kinahisiwa huenda kikawa na uhusiano na ndege...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII TUNAKUACHIA WEWE MSOMAJI WETU UTAFAKARI

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MARCH 23, 2014

Tunakuomba ulike ukurasa wetu wa facebook ili uingie kwenye familia ya Pamoja Blog ili upate habari mbalimbali za kitaifa na kimataifa  na hata vichwa vya magazeti ya kila siku ya Tanzania unaweza...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>