Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

ANGALIA PICHA YA JIWE LA AJABU NCHINI TANZANIA NA HAIRUHUSIWI KULIPANDA WALA KULISOGELEA!! KWANI NI HATARII

$
0
0
Haya ndio maajabu ya Jiwe la Mbuji Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma
Maana ya neno Mbuji ni "Kitu kikubwa"

1. Ni jiwe pekee kubwa Mkoani Ruvuma
2. Lina vyanzo vingi vya maji chini yake
3. Ni ngumu kulipanda na ukithubutu yatakayokukuta nijuu yako na tayari Mzungu mmoja kapoteza maisha'
4. Ni ngumu kulizunguka,
5. Hutumika kwa matambiko kwa baadhi ya koo,
6. Kuna watu maalumu wanaotoa maelekezo kwa yeyoteanayetaka kulifikia ama kupanda,
7. Ni kivutio kikubwa kwa wageni wachache ambaohutembelea Litembo, Maguu, Hagati nk huko Mbinga,
8. Linaheshimika sana na wakazi wanaolizunguka jiwehilo,
9. Sehemu kubwa ya watu wananchi wanaolizungukahawajawahi kulipanda wala kulisogelea kwa hofu,
10. Jina la jiwe hilo ndilo jina la Tarafa ya Mbuji wilayaniMbinga.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>