Waziri mkuu wa Malaysia, Nijib Razak ( katikati), Msaidi wa waziri mkuu Muhyiddin Yassin (Kushoto) pamoja na Waziri wa usafirishaji, Hishamuddin Hussin (kulia) wakizungumza na vyombo vya habari kwenye uwanja wa Kuala Lumpur Internation Airport(KLIA) baadaya ndege ya Malaysia Airlines kudondoka.
Ahmad Jauhari Yahya akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Kuala Lumpur Internation Airport(KLIA) baadaya ndege ya Malaysia Airlines kudondoka.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Ndege ya Malaysia Airlines iliyokuwa na abiria 227 na wafanyakazi 12 imedondoka kwenye bahari kwani eneo hili la bahari limejaa mafuta ya ndege hiyo kutoka Vietnam ni umbali wa Kilometa 250 kwa kutoka Malaysia ni umbali wa kilometa 190.
Ndege ya Malaysia Airlines iliyokuwa na abiria 227 na wafanyakazi 12 imeanguka huko katika bahari kusini mwa China, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali la Vietnam.
Ndege hiyo aina ya Boeing 777-200ER iliyokuwa inatoka Kuala Lumpur kuelekea Beijing, ilikuwa imepotea kwa masaa kadhaa.
Kama ripoti hiyo ikithibitisha, itakuwa ni ajali mbaya ya ndege ya aina hiyo (Boeing 777) tangu iingie sokoni miaka 19 iliyopita.
Kama ripoti hiyo ikithibitisha, itakuwa ni ajali mbaya ya ndege ya aina hiyo (Boeing 777) tangu iingie sokoni miaka 19 iliyopita.
Ndugu wakifanya mawasiliano kutaka kujua ukweli