Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

KUTOKA KWENYE BUNGE LA KATIBA NI RAHA TU LEO

$
0
0


Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe.Pandu Amir Kificho akiwa amesimama kutoa muongozo wakati wa kikao kilichofanyika jioni ya leo mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Job Ndugai akibadilishana mawazo na Mhe.Samweli Sitta. 

ENDELEA KUTIZAMA MATUKIO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mhe. Anna Makinda akiteta jambo na Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro.
Katibu wa wa Bunge la  la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Thomas Kashililaakizungumza na baadhi ya wajumbe wa kamati ya rasmi ya kanuni za bunge kabla ya kikao kuanza jioni hii.
Mjumbe wa Kamati ya Kanuni, Mhe.Tundu Lissu akijibu hoja zilizowasilishwa na Wajumbe wa Bunge hilo la Katiba.
Mhe. Hamad Rashid akichangia hoja.
Mhe Betty Machangu akichangia
Mhe. Hezekiah Wenje akichangia mjadala wa kanuni za bunge maalum leo.Picha na Deusdedit Moshi

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>