MUME NA MKE WAZUA BALAA BUNGE LA KATIBA
 Bunge la katiba likiendelea mjini Dodoma. Picha na Maktaba Chama cha National League for Democracy (NLD) Zanzibar kimemtaka, Rais Jakaya Kikwete kufuta uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba...
View ArticleFACEBOOK YANUNUA APPLICATION YA 'WHATSAPP' KWA DOLA BILIONI 19
Facebook wanazidi kujitanua zaidi kibiashara katika ulimwengu huu wa dijiti ambapo wameweza kufanya makubalino na waanzilishi wa ‘WhatsApp’, Jan Koum na Brian Acton kuinunua kwa makubaliano ya jumla ya...
View ArticleHII NI KARTOON LAKINI KUNA UKWELI NDANI YAKE
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUPDATES: AJALI YATOKEA KARIBU NA MIZANI YA DODOMA INAHUSISHA GARI LA JWTZ NA...
 Kwa shuhuda anasema kuwachanzo cha ajali hiyo ni dereva wa gari la jeshi aliingia upande wa busi ndipo dereva wa basi akalikwepa na kwenda nje ya barabara dereva wa gari la jeshi alibanwa miguu kama...
View ArticleUJUMBE MAALUM KUTOKA KWA BALOZI LIBERATA MULAMULA KWA WATANZANIA WAISHIO...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA YA LEO: SERIKALI INAJUA WANANCHI WAKE WA ENEO HILI WANAHITAJI DARAJA?
Hapa ni Moshi maeneo ya Kiyungi, wakazi wa Moshi nafikiri wanafahamu sana hili eneo. Hivi kweli hakuna uongozi katika eneo hili maana maisha ya wananchi yako hatarini na pia katika picha hii inaonesha...
View ArticleWAWILI WAONDOLEWA BUNGE LA KATIBA
Uteuzi wa Rais Jakaya Kikwete wa wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba, umekumbwa na dosari baada ya wajumbe wawili wenye majina na ubini unaofanana, Amina Mweta, kutinga bungeni kila mmoja akidai...
View ArticleWATOTO MAPACHA WALIOPELEKWA KUTENGANISHWA NCHINI INDIA WAREJEA JIJINI DAR.
 Watoto mapacha kutoka wilayani Kyela mkoani Mbeya waliokuwa wamepelekwa na serikali chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha wakiwasili nchini Tanzania...
View ArticleWAZIRI MEMBE AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ANENA MAZITO
 Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akiongea na wanahabari . Waziri Membe akifafanua jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Pembeni ni watu alioambatana...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARY 21, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi Zanzibar ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya...
View ArticleAJALI YATOKEA MWANDEGE IKIHUSISHA TOYOTA HIACE NA LORI LA MAFUTA MKOANI PWANI
Watu wanne wapo katika hali mbaya na wengine saba wamejeruhiwa baada ya lori scania namba T653 BFDÂ Â (scania 380) kugongana uso kwa uso na basi dogo la abiria Toyota Hiace T613 CPG iliyokuwa inatoka...
View ArticleFILAMU ZA SWAHILIWOOD ZAZINDULIWA RASMI USIKU WA JANA KATIKA UKUMBI WA...
Mkurugenzi wa Media For Development International (MFDI) – Tanzania Bw. John Riber akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Filamu tatu chini ya mradi wa Swahiliwood. MFDI...
View ArticleINASIKITISHA SANA: FAMILIA YAISHI CHOONI NI BAADA YA NYUMBA YAO KUEZULIWA NA...
 Aziza Mohamed (55)akiwa na mjukuu wake katika choo ambacho hivi sasa wamekigeuza kuwa makazi baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkali kuezua nyumba yake wilayani Hai. Aziza Mohamed (55)akiwa na...
View ArticlePOSHO ZAUNDIWA KAMATI DODOMA
  Mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba, Ameir Pandu Kificho.Wakati Mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba, Ameir Pandu Kificho, akiunda timu ya wajumbe sita kushughulikia malalamiko ya wabunge wa...
View ArticleLEO NDANI YA NEW MAISHA CLUB YA DAR ES SALAAM
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUMWAGAJI DAMU WAENDELEA NCHINI UKRAINE TAZAMA MATUKIO MBALIMBALI HAPA
Watu 21 wameuwawa hadi kufikia jana Alhamisi katika mapambano mapya kati ya polisi wa kutuliza fujo na waandamanaji mjini Kiev,Ukraine wakati mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wakikutana na...
View ArticleBREAKING NEWS: IKULU YA SOMALIA YASHAMBULIWA
Wapiganaji wa kiisilamu nchini Somalia wameshambulia Ikulu ya Rais katika mji mkuu Mogadishu. Umoja wa mataifa unasema umefahamishwa kuwa rais wa nchi hiyo hakujeruhiwa na yu salama na kwamba...
View ArticleKATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JOB MASIMA AKAMILISHA...
Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ndugu Job Masima kulia akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Injinia Stella Manyanya kukagua gari aina ya Ashok Leyland iliyotolewa na Wizara yake...
View ArticleMUGABE ATIMIZA MIAKA 90, SHEREHE YAKE KUFANYIKA UWANJANI JUMAPILI, ITATUMIA...
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza umri wa miaka 90. Hata hivyo sherehe yake imegubikwa na wasiwasi juu ya afya yake.Wakati ambapo wasaidizi wake...
View ArticleMPYAAAA: ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAPA YA 2013
KUTIZAMA MATOKEO BOFYA HAPA CHINIMATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPAPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View Article