SOMA HAPA ALICHOSEMA WAZIRI WA UINGEREZA KUHUSU UJANGILI NCHINI
Ujangili nchini Tanzania unavyoshika kasi. Picha na Maktaba Tunakabiliwa na janga. Faru wanauawa na maharamia kila baada ya dakika 10 na ni wachache kuliko chui 3,500 ambao wamebaki porini.Hili siyo...
View ArticleWAZIRI MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA NYUMBA 851 ZA SERIKALI ZINAZOJENGWA...
Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka Bw. Mwakalinga ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania.Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ukaguzi wa...
View ArticleJESHI LA POLISI LAKAMATA MENO YA NDOVU YENYE THAMANI SHILINGI MILIONI 17 SINGIDA
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SSP. Cordula Lyimo, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari leo juu ya kukamtwa kwa meno ya Tembo vipande 16 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 17...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO FEBRUARY 19, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi Zanzibar ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOCHEZWA JANA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTASWIRA MBALMBALI ZA WAGOMBEA UBUNGE WA CCM NA CHADEMA KATIKA JIMBO LA...
Grace Tendega Mvanda akirudisha fomu kwa Msimamizi wa Uchaguzi Pudenciana Kisika Mgombea wa CCM, Godfrey Mgimwa akikabidhi fomu yake kwa Msimamizi wa Uchaguzi, Pudenciana Kisika ENDELEA KUTIZAMA...
View ArticleBREAKING NEWS: MAPIGANO MAKALI YANAENDELEA KATIKA ENEO LA MBEZI JUU JIJINI...
Hili ni kundi la vijana waendesha bodaboda wakienda mtoni kumwokoa mwenzao ambaye wanadai ametekwa na wahuni wanaojificha mtoni na kukaba watu, mpaka sasa boda boda aliyetekwa yupo mwananyamala...
View ArticleWITO WA BALOZI ZISAIDIE KUUTANGAZA UTAMADUNI WETU
Msanii aliyetamba enzi hizo kwa umahili wake wa kuchea na nyoka Salma Moshi akisalimiana na kumkabidhi picha za baadhi ya kazi ya sanaa hiyo aliyofanya enzi hizo Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleJESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LINAWASHIKILIA WAHAMIAJI HARAMU RAIA WA...
Watu waliokamatwa kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria Afisa uhamiaji mkoa wa Dodoma Ally Haji Amil ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma SACP...
View ArticleMWANAMKE ATAKAYEVAA 'MINI SKIRT' UGANDA SASA KUSOTA JELA MIAKA 10
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametia saini sheria mpya inayotoa adhabu kali kwa wanaopatikana na hatia ya kutembea nusu uchi au kuhusika na vitendo vinavyohusisha picha zenye watu uchi.Wanawake pia...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMATANO...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA YA LEO: UNACHEZA NA FOLENI YA DAR ES SALAAM
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTCRA YATOA MATOKEO YA TATHMINI YA MCHAKATO WA UHAMAJI KUTOKA MFUMO WA...
United Republic Of TanzaniaTanzania Communications Regulatory Authority1.0 UTANGULIZIMnamo mwezi Julai, 2013, Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilikamisheni jopo la...
View ArticleLOWASSA, MEMBE, WASSIRA, SUMAYE, MAKAMBA, WAFUNGWA PINGU
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewadhibiti kwa kuwapa onyo kali viongozi na makada wake sita waliobainika kuanza kufanya kampeni za chini kwa chini kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao utakaofanyika...
View ArticleUTAFITI: MAMBO 10 UNAYOYAFANYA YANAYO HARIBU FIGO LAKO MWILINI
1. Hukojowi mapema mkojo ukikushika2. Hunywi maji ya kutosha 3. Unakula chumvi sana kwenye chakula.4. Hujitibu magonjwa ya kawaida kwa haraka na vizuri 5. Unakula nyama sana 6. Huli chakula cha kutosha...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS FEBRUARY 20, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi ZanzibarENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA EUFA CHAMPIONS LEAGUE ZILIZOCHEZWA JANA JUMATANO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKATIBA MPYA YA KENYA: WAKENYA WALAZIMIKA KULIPA USHURU KUAGA MAITI NA...
Kenya ilizindua Katiba mpya Agosti 27 mwaka 2010 kwenye sherehe iliyojaa mbwembwe katika bustani ya Uhuru,hatimaye katiba hiyo imeanza kuwapa machungu ya kulazimika kulipa ushuru wa kuaga maiti pamoja...
View ArticleUPDATES : TAARIFA YA IKULU YA UFAFANUZI KUHUSU BARAZA LA MAASKOFU WA...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI AWASILI MKOANI RUKWA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU...
Katibu Mkuu wa Wiazara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Ndugu Job Masima akishuka kwenye ndege aina ya Auric Air katika uwanja wa ndege wa Sumbawanga mapema jana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku...
View Article