$ 0 0 Kwa shuhuda anasema kuwachanzo cha ajali hiyo ni dereva wa gari la jeshi aliingia upande wa busi ndipo dereva wa basi akalikwepa na kwenda nje ya barabara dereva wa gari la jeshi alibanwa miguu kama uonavyo wasamalia wema wanahangaika kumtoa dereva.