Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16407

PICHA YA LEO: SERIKALI INAJUA WANANCHI WAKE WA ENEO HILI WANAHITAJI DARAJA?

$
0
0
Hapa ni Moshi maeneo ya Kiyungi, wakazi wa Moshi nafikiri wanafahamu sana hili eneo. Hivi kweli hakuna uongozi katika eneo hili maana maisha ya wananchi yako hatarini na pia katika picha hii inaonesha wanafunzi wanavuka wakiwa wamebeba ndoo za maji hii ni hatari.Picha na Samwel Yoel Msembe

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16407

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>