MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI FEBRUARY 22, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi Zanzibar ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI FEBRUARY...
ENDELEA KUTIZAMA MECHI NYINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAMBO 9 USIYOYAJUA KUHUSU MUGABE
Robert Mugabe jana tarehe 21 mwezi wa februari amefikisha miaka 90 na wikendi hii kutakuwa na sherehe si haba nchini Zimbabwe kusherehekea maisha marefu ya kiongozi huyo.Alizaliwa katika kijiji cha...
View ArticlePICHA YA LEO: YALEYALE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
Moja ya michoro ya nyumba ilijazwa kwenye Mitihani ya Taifa ya Kidato cha Nne mwaka jana wakati wa kutangaza matokeo hayo jijini Dar es Salaam jana.Picha na Fidelis Felix Pata habari motomoto...
View ArticleUJENZI WA BARABARA WALETA ADHA KWA WASAFIRI WILAYA YA BAHI
Gari likionekana likijaribu kupita bila mafanikio katika barabara inayonganisha vijiji sita vya wilaya ya Bahi, adha hiyo ya usafiri imetokana na kujengwa kwa kutumia udongo mifinyanzi katika kijiji...
View ArticleMUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA
Mtanzania Elisha Bahunde jina maarufu Eric ambaye siku ya Jumamosi Feb 15, 2014 alipata ajali Jimbo la Indiana iliyopelekea kukatika kwa miguu yote miwili na mkono wa kulia na baadae kuhamishiwa Jimbo...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI FEBRUARY 23, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi ZanzibarENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA JUMAMOSI
ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleIN LOVING MEMORY
Ni mwaka mmoja sasa mama yetu mpendwa umetutoka. Mama yetu Jamila Chagulani alizaliwa mwaka 1953 na kututoka tarehe 23/02/2013. Familia ya Mzee Chagulani itazidi kukukumbuka na kukuombea daima, mungu...
View ArticleNAMNA YA KUACHA KAZI SEHEMU WANAYOKUTEGEMEA
Kama Bosi wako ana swali humuuliza nani kwanza? ni wewe? Kama kazi yoyote haijafanyika nani huulizwa? ni wewe? kama anataka kufanya maamuzi makubwa na ya msingi hapo ofisini, huchukua ushauri kwa nani?...
View ArticleTAZAMA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAPILI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATATU FEBRUARY 24, 2014
Bonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure ya kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi Zanzibar ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIBonyeza hapa kujaza fomu ili upate tiketi ya bure...
View ArticleMSIBA DMV NA TANZANIA
Balozi Fulgence Kazaura enzi ya uhai wakeSima Kazaura anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi kilichotokea leo nchini India. Kama ilivyoada kupeana mkondo wa pole na kufarijiana ndio ustaarabu...
View ArticleMWANAMKE AKAMATWA AKITUPA MTOTO MCHANGA CHOONI HUKO MBEYA
Rukia Fungameza(20) mkazi wa mtaa wa Ilembo Kata ya Iwambi Anaetuhumiwa kutupa mtoto chooni Hii ndilo shimo la choo alimotumbukizwa mtoto huyo. ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Wakina...
View ArticleTAZAMA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA JUMAPILI...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMUGABE ASEMA AFRIKA HAINA SHUKRANI KWA NYERERE NA TANZANIA
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amesema kushindwa kwa viongozi wa Afrika kumuenzi Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere kwa mchango wake katika ukombozi wa Afrika ni jambo la...
View ArticleNYONGEZA YA POSHO YAGONGA MWAMBA
Baada ya kuanza kwa vikao vya bunge la katiba kulitokea mtafaruku kwa wajumbe hao kudai kuwa posho wanayopewa kwa siku ni ndogo. Hii ilipelekea Mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba, Ameir Pandu...
View ArticleINASIKITISHA: MAISHA YA BI AZIZA WA KIJIJI CHA MIJONGWENI ALIYEKUWA AKIISHI...
Safari yangu hii ni kutizama maenedeleo ya Bibi Aziza Mohamed aliyekuwa akiishi chooni baada ya nyumba yake kuezuliwa na mvua yenye upepo mkali ghafla milangoni nakutana na kufuri.Hata pale...
View ArticleHII NI KARTOON LAKINI KUNA UKWELI NDANI YAKE
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleNYUMBA ZAIDI YA 300 ZABOMOLEWA KUPISHA UWEKEZAJI MKUBWA JIJINI ARUSHA
Moja ya nyumba zilizobomolewa jirani na soko la Kilombero ambazo ni mali ya halmashauri ya jiji la Arusha kupisha uwekezaji mkubwa. Tinga likiwa kaziniHatimaye Halmashauri ya Jiji la Arusha imeanza...
View Article