Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAJENGO YA BUNGE DODOMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katika Ukumbi wa Bunge  mjini Dodoma alikotembea kukagua maendeleo ya ukarabati na kufanyiwa marekebisho tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGOGO WA ZAMANI BOT ATUPIWA VYOMBO NJE

Mkurugenzi wa zamani wa Fedha wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Elisa Issangya, akiwa ameduwaa baada ya vyombo vyake kutolewa nje ya nyumba na Kampuni ya  Udalali ya Mwafrika jana. Picha na silivan...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA SHERIA DUNIANI YAFANYIKA MKOANI DODOMA, WALIA NA UPUNGUFU WA MAJAJI

 Wakili  wa Serekali Mfawidhi mkoa wa Dodoma, Angaza Mwaipopo akifafanua jambo wakati wa sherehe ya siku ya sheria mjini Dodoma leo.Jaji Mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Dodoma, Crecensia Makuru...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NDIO MAMBO 15 MUHIMU KWA MSICHANA/MWANAMKE YA KUZINGATIA KABLA NA BAADA...

Naomba kuleta kwenu mambo ambayo naamini ni muhimu kuyatafakari na kuyapa uzito wenye kustahili.1)Kujitambua; Kila msichana aweze kutambua nini kinamfanya kuwa mwanamke. Kwa maana kama ni maumbile hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE ZOEZI LA KUWACHAGUA WASHIRIKI WA MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA...

Afisa utetezi wa haki za kiuchumi wa OXFAM Mkamiti Mgawe akielezea kwa kina namna ambavyo wanafanya mchujo  wa kumpata mshiriki wa awali wa mama shujaa wa chakula/ Maisha Plus ambapo washiriki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA ST ANNE MARIE ACADEMY WAFANYA UHARIBIFU...

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana akikagua chumba cha kompyuta ambacho kumefanyiwa uharibifu mkubwa na kuharibu kompyuta za mezani 40 na kompyuta mpakato 16 hazijulikani zilipo baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE FEBRUARY 04, 2014

 ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IKULU: RAIS HATAIDHINISHA MAMILIONI YA WABUNGE

Wabunge wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akiwahutubia kwenye Ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma, Novemba 7 mwaka jana. Picha ya MaktabaDar es Salaam. Ikulu imesema Rais Jakaya Kikwete hatakubali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAN CITY YAKUBALI KICHAPO NYUMBANI, TAZAMA NA MSIMAMO WA LIGI HIYO

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


VIDEO ILIYOANZISHA KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAMILIA YA NYERERE YAPORWA KIWANJA

FAMILIA ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, imeporwa kiwanja ilichokuwa inamiliki na anayedaiwa kuwa mporaji ameanza ujenzi ambao unafanyika chini ya usimamizi wa walinzi wa miraba minne. Mtoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FILBERT BAYI ATIMIZA MIAKA 40 TANGU AVUNJE REKODI YA MBIO ZA 1500M, LAKINI...

   Filbert Bayi, 1974Jumapili ya February 2, Filbert Bayi ametimiza miaka 40 tangu avunje rekodi ya dunia ya mita 1500, katika mashindano ya jumuiya ya madola.Hata hivyo, rekodi hiyo ambayo hadi leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CD MPYA "BONGO TAMBARARE" YA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU NDANI YA ETHOPIA

 Mwanamuziki Kamanda Ras makunja (katikati) akiwa na wadau nchini Ethopia, kwa ajili ya kuipeperusha CD mpya ya Bongo Tambarare Addis Ababa,Ethopia,Kiongozi wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVUA YAHARIBU NYUMBA ZAIDI KUMI ILOLO JIJINI MBEYA

Bibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 akilia kwa uchungu kuwa vitu vyote vya ndani vimeharibika pia anamshukuru mungu kumponya na mafuriko hayo kwani alikuwa amelala maji ndiyo yamestua kitandani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: WATU 12 WAKAMATWA NA SHEHENA KUBWA YA MADAWA YA KULEVYA...

 Picha kutoka MaktabaWatu 12, wanaodaiwa kuwa ni raia wa Iran na Pakistan wamekamatwa na shehena kubwa la madawa ya kulevya katika Bahari ya Hindi wakiwa wanaelekea Zanzibar kwa jahazi.Chanzo: RADIO1...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KISIMA ‘WALIMOZIKWA’ WAFARANSA CHAFUKULIWA

 Kisima kilichopo eneo la Matamwe Mkoa wa Kaskazini Unguja ambamo raia wawili wa Ufaransa wanasadikiwa kuuawa na kisha kufukiwa kwa zege. Picha na Mwinyi Sadallah Zanzibar. Kazi ya kutafuta mabaki ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA HABARI HII UBADILI MAISHA YAKO; SABABU 7 ZINAZOKUFANYA USITAJIRIKE

 Ndugu msomaji wetu wa blog hii ya jamii inabidi niwe wa kwanza kukujuza haya, ni vema wangekujuza rafiki zako wa karibu lakini kwasababu hawajaweza kukujuzaa basi hainabudi nikwambie mimi. Kuna tabia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO FEBRUARY 05, 2014

Ndugu msomaji wetu tunaomba radhi kwa kutoweka magazeti kwa wakati kutokana na tatizo lilkuwa nje ya uwezo wetu. Tunawatakia usomaji mwema wa magazeti ya leo. Tutakuwa pamoja daimaENDELEA KUSOMA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA HAPA HABARI KAMILI KUHUSU POLISI KUKAMATA KILO 200 ZA HEROINI

Mtandao huu wa Pamoja Blog jana majira ya saa tisa za jioni tulipata taarifa kutoka radio one sterio iliyokuwa inasema kuwa "Watu 12, wanaodaiwa kuwa ni raia wa Iran na Pakistan wamekamatwa na shehena...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILL GATES AJIONDOA KAMA MWENYEKITI WA KAMPUNI YA MICROSOFT

Baada ya kutokea kwa mtafaruko kwenye kampuni ya Microsoft baina ya Bill Gates na wawekezaji wakubwa watatu wa kampuni ya Microsoft ya Marekani  kwamba aachie ngazi ya uenyekiti baada ya kukalia kiti...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>