Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA ST ANNE MARIE ACADEMY WAFANYA UHARIBIFU MKUBWA KATIKA SHULE HIYO

$
0
0
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana akikagua chumba cha kompyuta ambacho kumefanyiwa uharibifu mkubwa na kuharibu kompyuta za mezani 40 na kompyuta mpakato 16 hazijulikani zilipo baada ya wanafunzi kuvamia maeneo mbalimbali ya shule hiyo alajiri ya kuamkia leo majira ya saa nane usiku na kufanya uharibifu huo na kuvunja vunja vioo vya majengo pamoja na magari. 

 Mabasi ya shule na magari mengine yapatayo 17 yamevinjwa vioo na kuharibiwa vibaya.

 ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akiwa pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camilius Wambura wakikagua uharibufu uliofanywa na wanafunzi wa Shule ya sekondari ya St. Anne Marie iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam leo.
 Maisha ya sasa ni ya sayansi na teknolojia na hii ndio moja ya maabara ya teknolojia hiyo ambayo imeharibiwa vibaya na wanafunzi hao.
 DC wa Kinondoni akizungumza na walimu wa shule na viongozi wa shule hiyo.
 Walimu wakimsikiliza DC wa Kinondoni
Viongozi wa wanafunzi wakimsikiliza mkuu wa wilaya.

PICHA NA FATHER KIDEVU BLOG

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>