$ 0 0 Picha kutoka MaktabaWatu 12, wanaodaiwa kuwa ni raia wa Iran na Pakistan wamekamatwa na shehena kubwa la madawa ya kulevya katika Bahari ya Hindi wakiwa wanaelekea Zanzibar kwa jahazi.Chanzo: RADIO1 STEREO