Bibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 akilia kwa uchungu kuwa vitu vyote vya ndani vimeharibika pia anamshukuru mungu kumponya na mafuriko hayo kwani alikuwa amelala maji ndiyo yamestua kitandani kwani maji yaliingia mpaka ndani
Bibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 mkazi wa Ilolo akituonyesha jinsi maji yalivyoharibu vitu vyake
Bibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 mkazi wa Ilolo akituonyesha jinsi maji yalivyoharibu vitu vyake
Kanisa la Moravian Ilolo likiwa limejaa maji ndani
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HULI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mwenyekiti wa mataa Sinde A Anyandwile Mwansanu akiongea na waandishi wa habari
Mama na mwanae mgongoni hajui aanzie wapi kutoa maji yalioingia nyumbani kwake
PICHA NA MBEYA YETU BLOG