Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU IMEWAACHIA HURU MENEJA UENDELEZAJI...

 Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda akiongea na waandishi baada ya kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWSS: JENGO LINAUNGUA HUU NA MOTO ENEO LA KAMATA, JIJINI DAR

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIFAHAMU DALILI ZA KWAMBA UNAKABILIWA NA UBAGUZI KAZINI

Hakuna mtu anayependa mazingira magumu ya kazi. Ingawa kama unaamini hali ya ubaguzi ipo au lah, mara nyingi ni vigumu kuigundua moja kwa moja. Hivyo kuna baadhi ya tabia za kikorofi au unyanyasaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPA KAZI IPO

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH. JUMA NGASONGWA ANUSURIKA AJALINI HUKO KIBAHA,MKOANI PWANI

Huu ndio mwonekano wa Gari aliyokuwa akiendesha Mh. Ngasongwa.Picha na Chriss Mfinanga.Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mh. Mwantumu Mahiza akimjulia hali Mh. Ngasongwa alipokuwa kwenye Hospitali ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUCHI KUCHI (OH BABY) WIMBO WA MWAKA 2011 UNAOHIT SASA TANZANIA

Kama Joy Odiete maarufu kama Jodie akitua nchini leo, atashangaa mno kusikia wimbo wake wa mwaka 2011, Kuchi Kuchi (Oh Baby) ukichezwa kwenye mitaa ya mikoa karibu yote ya Tanzania.Atakachoshangaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI YA MICHAEL SCHUMACHER BADO NI TETE

Dereva nyota wa zamani wa mashindano ya magari kutoka Ujerumani, Michael Schumacher bado hali yake ni mbaya na madaktari wanaendelea kumweka katika hali ya ‘kuzirai kimatibabu’Meneja wake ameiambia BBC...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS JANUARY 30, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RHINO RANGERS YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA AZAM FC

 Kipre Tchetche akimtoka beki wa Rhino Rangers, Laban Kambole katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi. Kipre Tchetche  akipiga mpira uliozaa bao pekee la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFANDE SELE ATAMBULISHWA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA OPERESHENI M4C PAMOJA...

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akimtambulisha mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele, wakati wa mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Dama, uliofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LG YAZINDUA TV AINA YA OLED AMBAYO NIYA KWANZA KWA UBORA DUNIANI

 Bw. Valerian Banda ambaye ni msemaji wa Kampuni ya Garnet Star ambao ni wasambazaji wa vifaa vya LG akiongea kuelezea TV ya kwanza ulimwenguni aina ya OLED ambayo ndiyo imeingia katika soko ya nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA MECHI YA MECHI YA LIGI YA UINGEREZA KWA MECHI ZILIZOCHEZWA USIKU...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMERA YETU KWENYE BARABARA YA SAM NUJOMA, JIJINI DAR ES SALAAM

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATIZO LA UMEME LINDI KUANZA KUONDOKA HIVI KARIBUNI

Meneja wa Tanesco mkoa wa Lindi Eng John Bandiye Baadhi ya Vifaa vilivyowasili kwa ajili ya kuondoa kero za umeme ikiwa ni pamoja na kuondoa ukatikaji wa umeme mara kwa mara kwa sababu ya Nguzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBE!!!!

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA SHEKH WA MKOA WA MARA WAWASILI UWANJA WA NDEGE MUSOMA

  Mkuu wa mkoa wa Mara, John Tuppa akielekea kwenye ndege kuongoza waombolezaji  Rubani wa ndege akielekeza namna ya kutoa jeneza lenye mwili wa marehemuENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA TANZANIA YALIJIBU GAZETI LA RWANDA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUbalozi wa Tanzania katika Rwanda usiku wa jana, Jumatano, Januari 29, 2014 ulitoa taarifa kwa vyombo vya habari ikikanusha habari za uongo na uzushi ambazo ziliandikwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRAND YA MOTOROLA YANUNULIWA NA LENOVO KUTOKA KWA GOOGLE

Watengenezaji wa komputa wa nchini China, Lenovo wamezinunua simu za Motorola kutoka kwa Google. Google imethibitisha kupitia website yake kuwa imeiuza Motorola kwa gharama ya dola bilioni 2.91.Lenovo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAADA WAKO UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO MARYAM

Kuna mdada wa miaka 18 Ambae amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya kua kwamba sehemu hiyo imefunga. Kwa ujuzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA JANUARY 31, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>