Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZEE DUDE AFARIKI DUNIA

Mzee Dude enzi za uhai wake.MSANII wa kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza jana jioni!Mungu ailaze...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE JANUARY 28, 2014

 ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA CHADEMA MKOANI IRINGA

 Hii ndio  Helkopta  iliyokuwa imebeba viongozi wa CHADEMAwalipofika kwenye uwanja wa Mwembetogwamkoani Iringa. Dr Slaa akiwasili katika  kiwanja cha Mwembetogwa    Dr Slaa akihutubia katika mkutano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA ZA FEDHA, ELIMU KUWEKWA ‘KITIMOTO’

 Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (kulia) na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe wakitoka katika Ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma jana. Picha na Edwin Mjwahuzi Dar es Salaam. Kamati ya Bunge ya Hesabu za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENDO MDUNDO MPAKA 2015

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPIGA TUMBA WA TWANGA PEPETA SOUND, SOUD MOHAMED AMEFARIKI DUNIA

Aliyekuwa mpiga tumba wa Bendi ya Twanga Pepeta Soud Mohamed alimaarufu kama MCD amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.Kwa mujibu wa kiongozi wa Bendi ya Twanga Pepeta Luizer Mbutu amesema mazishi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMANNE JANUARY 28,...

 ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAANDALIZI YA MKUTANO WA KWANZA WA US-AFRICA SUMMIT YAMEANZA WASHINGTON DC

Mhe.Balozi Liberata Mulamula (kulia)akiwa katika picha ya pamoja na Mhe.Balozi Amina Salum Ali,Mwakilishi wa Umoja wa Afrika nchini Marekani (kushoto)na Mhe. Linda Thomas Green- Field,Naibu Waziri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIDEO: MOHAMMED ENTERPRISES TANZANIA'S EXPANSION PLAN IN AFRICA

The World Economic Forum brought together political, business and civil society leaders to discuss economic development issues. It also attracted a host of entrepreneurs, among them Forbes' youngest...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANDISHI WA BBC ANN WAITHERA AFARIKI

 Marehemu Ann Waithera enzi za uhai wakeAnn alikuwa anafanya kazi na BBC katika ofisi za Nairobi na amekuwa akiiugua Saratani kwa karibu miaka miwili.Ann aliwahi kuwa ripota wa BBC mjini Addis Ababa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITALE ASEMA MUZIKI UNALIPA ZAIDI NDIYO MAANA WASANII WA MAIGIZO WANAKIMBIA...

Msanii wa maigizo na muziki Kitale amesema watu wasije kushangaa kuona wasanii wengi wa maigizo wanaingia kwenye muziki kwasababu unalipa mara 10 zaidi ya filamu.Akizungumza na mtandao huu leo Kitale...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AIPONDA RIPOTI YA MAFURIKO DUMILA

 Rais Jakaya Kikwete akiangalia moja ya nyumba zilizobomolewa na mvuailiyosababisha mafuriko wiki iliyopita katika Kijiji cha Mateteni, Dakawa, wilayani Kilosa alipotembelea maeneo hayo jana. Picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNATAKA KUENDESHA BIASHARA YAKO? HAYA NI MAMBO YA MSINGI KUZINGATIA

 Je una kila kitu cha kukuwezesha kuendesha biashara yako? Fuatilia vitu hivi kujua uwezo wako.Je Una mawazo ya kibiashara ya kueleweka?Wazo la kibiashara linahitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: JESHI LA POLISI LASAKA JAMBAZI LILILOUA WATU WANANE HUKO RORYA, TARIME

Ndugu zangu waandishi wa habari, nimewaiteni hapa kwa dharura, ili kuweza kuwafahamisha hali halisi ya mauaji yaliyotokea katika siku za hivi karibuni katika mkoa wa Kipolisi wa Tarime Rorya.Mnamo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA HAPA TAARIFA YA MAHAKAMANI LEO KUHUSU SAKATA LA MADIWANI 8 WA BUKOBA

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JANUARY 29, 2013

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA KWA MECHI ZILIZOCHEZWA JANA...

ENDELEA KUTIZAMA MATOKEO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


KIJIWE CHA UGHAIBUNI

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MKUU AISHUKIA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akizungumza kwenye mkutano na waaandishi wa habari  jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Msajili wa Mahakama, Ignas Kitusi. Picha na Venance Nestory Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMATANO JANUARY...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>