Kipre Tchetche akimtoka beki wa Rhino Rangers, Laban Kambole katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi.
Kipre Tchetche akipiga mpira uliozaa bao pekee la timu Azam FC.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mshambuliaji wa Azam FC, Kone Mohamed (katikati), akiwania mpira huku akizongwa na beki wa Rhino Rangers.
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre TcheTche akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa timu ya Rhino Rangers, Julius Masunga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam. Azama ilishinda 1-0.
Kipre Tchetche akimshukuru Mungu baada ya kuifungia timu yake bao.