FIRST MEETING OF THE AFRICAN AMBASSADORS IN THE AFRICA HOUSE
Balozi wa African Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali (kulia) akiongoza mkutano wa kwanza wa Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani kwenye jengo jipya la ofisi ya African...
View ArticleCHADEMA KUSUSIA BUNGE LA KATIBA IKIWA...
Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la chama cha CUF, Ismail Jussa Ladhu akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki alipokuwa akimnadi mgombea wa chama hicho...
View ArticleHAYA NDIO MADHARA YA BOSI MTATA AU MBAYA
Sehemu ya Kwanza (madhara, kiafya, kikazi na majukumu)1. KiafyaKuripoti kwa bosi mtata au mbaya inakughalimu nguvu nyingi kuliko vile unavyofikiri kama unafanya kazi kwa masaa nane kwa siku au siku...
View ArticleHUU NI MTAZAMO TU: HIZI NDIZO SIFA ZA KILA MKOA TANZANIA
1. DAR - Utapeli2. ARUSHA - Ustaarabu3. MBEYA - Matukio4. MWANZA - Fujo5. TANGA - Mapenzi6. MOROGORO - Starehe7. DODOMA - Bahati8. IRINGA - Elimu bora9. RUVUMA - Pombe10. RUKWA - Uchawi11. TABORA -...
View ArticleUJUMBE WA LEO
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleURAIS 2015: MALECELA AMTOLEA UVIVU LOWASSA
Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, John Malecela.PICHA|MAKTABA Dodoma. Vita ya urais kupitia CCM inazidi kushika kasi baada ya Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, John Malecela kuutaka...
View ArticleUPDATES: MWENYEKITI WA CHADEMA,MH. MBOWE, MH. HALIMA MDEE NA MH. PETER MSIGWA...
Akizungumza kwa njia ya simu Ripota wa Mtandao huu, alisema kuwa, Viongozi hao wa Chadema, wamekamatwa na Polisi leo asubuhi na kuwashikilia kwa muda kituoni hapo wakihojiwa baada ya jana kupitisha...
View ArticleTANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KUTOKA TTCL NA UBALOZI WA MAREKANI HIZI HAPA
TIZAMA NAFASI ZA KAZI KWA KUBOFYA HAPAPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTANGAZO MUHIMU KUTOKA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA (NECTA)
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIABaraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwakumbusha watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) mwezi Novemba, 2014 kama Watahiniwa wa...
View ArticleGARI LADUMBUKIA MTARONI BARABARA YA MIGOMBANI KARIBU NA MAKAO MAKUU YA ZANTEL
Gari ndogo aina ya Toyota Corolla lenye nambari za Usajili T 379 AGL, likiwa ndani ya mtaro mara baada ya kupoteza mwelekeo wakati likiwa kwenye Mwendo mkali. Tukio hili limetokea mchana huu katika...
View ArticleBIBI ANAYESADIKIKA KUWA NI MCHAWI AMEKUTWA CHUMBANI KWA MTU MJINI BUKOBA
Bi. Kizee anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 70, ambaye jina lake halikuweza kufahamika kwa urahisi amenusurika kifo baada ya polisi kumnusuru kwa kudaiwa kukutwa akiwa uchi chumbani kwa mtu...
View ArticleMAYOR JERRY SILAA KUBARIKI UZINDUZI WA KAMPUNI YA GRACING AFRICA LEO
Mwanamitindo anayefanya vizuri sana nchini, Danny David atazindua kampuni yake mpya ya Gracing Africa inayojihusisha na ukuzaji na uendelezaji wa vipaji nchini hasa vya mitindo na fashion ijumaa hii...
View ArticleOGOPA DEEJAYS YA KENYA YASITISHA MIKATABA YA WASANII WAKE AKIWEMO AVRIL
Jina la Ogopa Deejays limekuwa zaidi katika miaka ya karibuni nchini Tanzania kutokana na wasanii wengi wa Bongo kufanya video na kampuni hiyo, ambayo ilianzishwa miaka 1990 ikiwa studio ya kurekodi...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI FEBRUARY 01, 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI FEBRUARY 01, 2014
ENDELEA KUTIZAMA MECHI NYINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWAFARANSA WAWILI WAUAWA ZANZIBAR
Kisima kilichopo eneo la Matamwe Mkoa wa Kaskazini Unguja ambamo raia wawili wa Ufaransa wanasadikiwa kuuawa na kisha kufukiwa kwa zege. Picha na Mwinyi Sadallah Zanzibar.Raia wawili wa Ufaransa...
View ArticleFOURTY YA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA DMV
Zainab Buzohera enzi ya uhai wakeDullah na familia ya Buzohera inawataarifu kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa...
View ArticleJINSI UAMINIFU UNAVYOTUMIKA KAMA KIGEZO MUHIMU KAZINI
PICHA: Gavin GosbertKwa muda mrefu nimekuwa nikiamini kwamba kazi hazipo ama hazitoshi, ila ninachoweza kugundua kila siku ni kwamba kazi zipo nyingi ila kuna tatizo kwa wafanyakazi wenyewe. Sasa hivi...
View ArticleSOMA HAPA HABARI KAMILI KUHUSU POLISI WATANO WALIOFARIKI KATIKA AJALI MKOANI...
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.Askari polisi watano mkoani dodoma wamefariki dunia papohapo katika ajali ya gari iliyotokea 31/01/2014 majira ya saa 5 usiku katika barabara kuu ya...
View ArticleWAUZA NGUO ZA NDANI MITUMBA WAIZIDI UJANJA TBS
WAFANYABIASHARA wa nguo za ndani zilizo hafifu maarufu kama mitumba jijini Mbeya, jana waliwazidi ujanja maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuficha nguo hizo wakati wa operesheni ya...
View Article