Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUFURAHII KAZI YAKO KAMA ZAMANI? JIFUNZE HAPA NJIA TISA(9) ZA KUIFURAHIA TENA...

Je unafurahia kazi yako? Kama sivyo basi ni wale watu ambao wamesahau sababu ya kufurahia kazi yao kama mara ya kwanza.Lakini labda ni si kazi yenyewe lakini tatizo likawa mtazamo wako kuelekea tatizo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAFA: MAFURIKO YAIKUMBA DUMILA

Wananchi wa Dumila mkoani Morogoro wakitumia uzoefu wao wa kuogelea kujinusuru na mafuriko yaliyotokea jana na kuhatarisha maisha ya watu wengi ikiwa ni pamoja na kuharibu madaraja. Picha na Lilian...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KWANINI WAFANYAKAZI HAWAWAAMINI VIONGOZI WAO? HIZI NDIZO SABABU SABA(7)...

Wakati dunia ilikuwa ikiomboleza kuondoka kwa Nelson Mandela na kumkumbuka yeye kama kiongozi mahili duniani, kitu ambacho kinaonekana wazi kwa Mandela ni imani ambayo watu walikua nayo juu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATENGENEZO DARAJA LA MKUNDI YAANZA, WAZIRI MAGUFULI AELEKEZA KAZI KUFANYIKA...

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa watendaji wa Tanroads.Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anafuatilia kazi katika moja ya mitambo ya barabara.Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS : MVUA KUBWA NA UPEPO MKALI WAEZUA MABATI YA NYUMBA ZAIDI YA...

Helekopta ya CHADEMA ikiwa inatuwa KyelaHii Ni mojs ys nyumba iliyo ezuliwa na Mvua kubwa zinazonyesha Kyela Muda huu(Picha na Mbeya Yetu)Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH. LOWASSA AMFARIJI MZEE MAKAMBA ALIEFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba (wa pili kushoto) wakati alipokuwa akimtambulisha dada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIPINDI CHA THE MBONI SHOW CHAWAALIKA WASANII WA FILAMU NCHINI STEVE NYERERE...

 Msanii wa Maigizo Tanzania Steve Mongere aka Steve Nyerere akisalimiana na Mwendesha Kipindi cha The Mboni Show , Mboni Masimba (Wa Kwanza kushoto) mara baada ya kuwasili ndani ya mjengo ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO: SINA CHA KUSEMA LABDA WEWE MSOMAJI WETU UNA JAMBO LA KUSEMA HAPA

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA JANUARY 24, 2014

 ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPYA: MAJINA YA WALIOITWA KUFANYA INTERVIEW YA MWISHO PCCB BAADA YA KUFAULU...

 BOFYA HAPA KUONA HAYO MAJINAPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIKUTANO YA CHADEMA ILIYOFANYIKA HUKO RUNGWE, KYELA, NAMTUMBO, SONGEA, MBAMBA...

 Baadhi ya wananchi walikuwa kwenye mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima ulihutubiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, katika Kata ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI HALISI YA DUMIALA MKOA WA MOROGORO BAADA YA MVUA KUNYESHA

  Baadhi ya wananchi wa Dumila wakiwa kando kando ya mto huo kuangalia kama kuna maiti nyingine, baada ya maiti moja kukutwa ikieleza kwenye mto Mkundi, marehmu huyo alisombwa na maji hayo akiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTEUZI WA KIKWETE WAIKOROGA CCM

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza Dar es Salaam jana kuwataka mawaziri walioteuliwa kuendelea na nyadhifa zao kubadilika ili kuleta imani kwa wananchi. Picha na Fidelis Felix...

View Article


TAZAMA HAPA RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA MZUNGUKO WA PILI

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPINZANI UKRAINE, WATOA ONYO KWA SERIKALI

 Waandamanaji wakipambana na polisi mjini Kiev Vifo hivyo ni vya kwanza tangu kuzuka kwa maandamano ya kuipinga serikali miezi miwili iliyopita. Waandamanaji na polisi nchini Ukraine wamepambana tena...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAFITI: KUTUMIA SMARTPHONES USIKU KUNAHARIBU USINGIZI NA UTENDAJI KAZI SIKU...

Kuzima smartphone saa 3 usiku kunaweza kukufanya ufanye kazi vizuri siku inayofuata, watafiti wamesemaTunafahamu usiku unaweza kuwa muda mzuri wa kupitia status za washkaji Facebook, kutazama picha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO ALIYEPIGWA NA BABA YAKE KISA HAFANANI NAYE AFARIKI

 Hospitali ya WeteMtoto Mwaru Lunard Sabil (9) aliyepigwa na kuumizwa vibaya na baba yake mzazi na kisha kulazwa katika Hospitali ya Wete, Pemba akipatiwa matibabu amefariki dunia na baba huyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE UNATAKA KUBADILISHA TAALUMA YAKO? EPUKA MAKOSA HAYA

 Kama kocha wa mambo ya taaluma, ninaweza kukwambia suala la kubadilisha taaluma ni kitu kinachohusiana sana na maadili yako, mahitaji yako, ujuzi na vitu unavyovipenda hata katika kipindi hiki ambacho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAKUFULI AKESHA AKISIMAMIA UJENZI WA DARAJA LA DUMILA, MAGARI YAANZA...

 Waziri wa ujenzi John Magufuli akiruhusu  Lori la kwanza kupita katika daraja la Dumila wilayani Kilosa  baada ya mainjinia wa wizara hiyo kukesha  usiku kucha kutengeneza daraja hilo. Waziri Magufuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JANUARY 25, 2014

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>