Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MIKUTANO YA CHADEMA ILIYOFANYIKA HUKO RUNGWE, KYELA, NAMTUMBO, SONGEA, MBAMBA BAY PAMOJA NA MBINGA

$
0
0
 Baadhi ya wananchi walikuwa kwenye mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima ulihutubiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, katika Kata ya Malindo wilayani Rungwe, wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbali mbali jana.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Kyela, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima, kwenye Uwan ja wa Siasa jana.
 Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Mbinga juzi. 

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Baadhi ya wakazi wa Peramiho wakiitikia kibwagizo cha 'Peoples Power wakatiwa mkutano wa hadhara wa Oparesheni M4C Pamoja Daima juzi.

 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokerasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Mbamba Bay, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Pamoja Daima juzi. 
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akuhutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Namtumbo, ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa mikutano ya Oparesheni M4C Pamoja Daima juzi.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, akimnadi mgombea udiwani katika Kata ya Malindo wilayani Rungwe, Nocodemos Mwakalile, wakati wa mkutanowa hadhara jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokerasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiagana na wananchi wa mji wa Mbamba Bay, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Pamoja Daima juzi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>