HAPPY BIRTHDAY BLOGGER JENNIFER LIVIGHA
Uongozi wa blog ya Pamoja unakupongeza Blogger Jennifa Livigha wa blog ya ChingaOne kwa kutimiza miaka kadhaa. Mungu akusimamie na akulinde katika kazi zako za kuhabarisha jamii.Pata habari motomoto...
View ArticleDK KIGWANGALLA HATARINI CCM
Mbunge wa Nzega (CCM), Dk Hamis Kigwangalla akichangia jambo bungeni siku za hivi karibuni mjini Dodoma. Picha na MaktabaDar es Salaam. Mbunge wa Nzega (CCM), Dk Hamis Kigwangalla yuko hatarini...
View ArticleGIRLFRIEND WA ABRAMOVICH AOMBA RADHI KWA KUKALIA KITI CHENYE UMBO LA MWANAMKE...
Mpenzi wa siku nyingi wa mmiliki wa club ya Chelsea na bilionea wa Urusi, Roman Abramovich aitwaye Dasha Zhukova,ameomba radhi kwa picha yake inayomuonesha akiwa amekaa kwenye kiti kilichotengenezwa...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA WANANCHI WA MIONO KATIKA MAZIKO YA ALIYEKUWA MBUNGE WA...
Rais Jakaya Kikwete, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Mbunge wa Chalinze, kwa tiketi ya CCM, Ramadhan Bwanamdogo, aliyefariki dunia juzi. Maziko ya marehemu Bwanamdogo, yamefanyika...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA PICHA KWENYE SHOO YA DIAMOND PLATNUMZ USIKU WA KUAMKIA LEO...
Dancer wakiongozwa na Moze iyobo,wakafungua pazia la burudaniENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI Weka mbalii na watottoPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA FA CUP ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI JANUARY 25, 2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleRAIS WA KLABU YA BARCELONA AJIUZULU KUTOKANA NA MADAI YA MATUMIZI MABAYA YA...
Sandro Rosell Rais wa klabu ya Barcelona, Sandro Rosell, amejiuzulu kufuatia madai ya utumizi mabaya ya fedha wakati klabu hiyo ilipomsajili nyota wa Brazil, Neymar mwaka uliopita.Rosell, amesema...
View ArticlePICHA YA LEO: 2015?
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKOMPUTA ZA MAC ZATIMIZA MIAKA 30 TANGU ZIZINDULIWE
Waanzilishi wenza wa Apple, Steve Jobs na John Sculley wakioneshwa kwa mara ya kwanza komputa Macintosh kwenye mkutano wa wawekezaji huko Cupertino, January 1984Miaka 30 iliyopita Ijumaa hii takriban...
View ArticleMKUTANO WA DR SLAA WATIKISA MBEYA
Baadhi ya wananchi wa mji wa Mbeya wakiwa wabeba mabango yenye ujumbe mbalimbali, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima wa Chadema, uliofanyika kwenye Uwanja wa Lwanda Nzovwe...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI JANUARY 26, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleUSHABIKI UNAVYOWATESA VIJANA KATIKA SIASA
Vijana wafuasi wa Chadema wakipigana mahakamani kutetea makundi wanayounga mkono. Picha ya Mwaktaba. Dar es Salaam. Mwamko wa vijana katika siasa ulianza kujitokeza katika kipindi cha uchaguzi wa mwaka...
View ArticleMOURINHO AYAJIBU MALALAMIKO YA WENGER KUHUSU UHAMISHO WA MATA
Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho amemjibu meneja wa Arsenal, Arsene Wenger kufuatia malalamiko yake kuhusiana na uhamisho wa kiungo Juan Mata aliyejiunga na Manchester United kwamba hayakuwa...
View ArticleHAPA VIPI WADAU WETU?
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, DKT. ASHA- ROSE MIGIRO ATEMBELEA TUME YA...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro (kushoto) akipokea nakala za ripoti za Tume ya Mabadiliko ya Katiba ikiwemo Rasimu ya Katiba kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba...
View ArticleDOTTO: NIMEJENGA, NASOMESHA KWA KAZI YA KUKAANGA SAMAKI FERI
Dotto akiwa katika shughuli zake za kukaanga samaki.Picha na Kalunde Jamal. Ni eneo ambalo limetanda moshi mzito ukiambatana na moshi wa sigara, kutoka kwa baadhi ya wanaofanya kazi kwenye eneo...
View ArticleWEZI WAIBA MILANGO, TAA ZA GARI NA KUWAPORA WAPITA NJIA BAADA YA KUTOKEA...
Nissan Patrol namba T479 BPJ baada ya kuigonga Bodaboda eneo la Tandale kwa Bonge, Dar jana usiku. WEZI walipora milango, taa za gari na kuwapora wapita njia kufuatia ajali iliyotokea Tandale kwa...
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA FA CUP ZILIZOCHEZWA JANA JUMAMOSI JANUARY 25,...
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAHAKAMA NKASI YAMUAMURU MUME KUJENGA NYUMBA YA MTALAKA WAKE.
Maria Tarafa (wa kwanza kushoto) akiwa na watoto wake wanne aliozaa na Ndebile Kazuri akiwa sehemu ya nyumba anayokaa, mumewe ameibomoa nyumba hiyo ili kumfukuza eneo hilo. MAHAKAMA ya mwanzo Mjini...
View ArticleWAZIRI ANUSURIKA KIFO AJALI YA NDEGE
Ndege ya Zan Air ikiwa kichakani kwenye Uwanja wa Ndege wa Karume kisiwani Pemba. Picha ndogo ni Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar, Abubakari Khamis Bakari.Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar,...
View Article