Baadhi ya wananchi wa Dumila wakiwa kando kando ya mto huo kuangalia kama kuna maiti nyingine, baada ya maiti moja kukutwa ikieleza kwenye mto Mkundi, marehmu huyo alisombwa na maji hayo akiwa shambani kwake
Mahakama ya Kijiji cha Magole nayo ilijaa maji na baadhi ya mafaili ya washitakiwa kudaiwa kusombwa na mafuriko hayo.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mama akiokoa vyombo vyake
Jamaa wakiopoa boda boda yao
Hatari watoto wakiogelea kwenye maji hayo ya mafuriko .
Wananchi wakiangaika kuokoa vyombo vyao
Sehemu ya daraja iliyokatika.
Picha zote na Dustan shekidele, Morogoro