SHEREHE YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI NEW YORK
Sherehe za mapinduzi ya Zanzibar zilivyofana New York , Sherehe hizo zilipendezeshwa kwa show ya mavazi, chakula na music wa Asili ya mwambao kutoka kwa Dj Bilal. Balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa...
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO JANUARY 22, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMANCHESTER CITY YATINGA FAINALI KWENYE KOMBE LA CAPITAL ONE CUP BAADA YA...
Alvaro Negredo aliifungia Manchester City magoli mawili (2) wakati Sergio Arguero akimalizia goli la tatu na kuiwezesha Manchester City kuibuka na ushindi wa magoli 3-0, kwa matokeo hayo Manchester...
View ArticleBREAKING NEWS:MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE NDUGU SAID BWANAMDOGO AFARIKI DUNIA
Taarifa zilizotufikia Katika Meza yetu ya mtandao huu, hivi punde kutoka kwa Mdau wetu zinasema kuwa Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa...
View ArticleUJUMBE WA LEO KITAANI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMGOMBEA URAIS WA FIFA JEROME CHAMPAGNE ATOA PENDEKEZO LA KUANZISHWA KADI ZA...
Mgombea wa kiti cha urais wa shirikisho la mchezo wa soka duniani FIFA, Jerome Champagne, amependekeza kuanzishwa kwa mfumo wa kutoa kadi ya chungwa wakati wa mechi za soka, ili kuruhusu marefa wa...
View ArticleKAZI KWELI KWELI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleCHADEMA KUTIKISA NCHI; HELIKOPTA TATU KURUSHWA NCHI NZIMA
Katibu Mkuu wa Chadema, Willibrod Slaa na mwenyekiti wake Freeman Mbowe wakielekea kuzungumza na waandishi wa habari, Makao Makuu ya chama hicho Dar es Salaam jana kuhusu kuanza kwa ‘Operesheni...
View ArticleUPDATES: WANAFUNZI WANNE WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE 35 KUJERUHIWA AJILINI...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara, Zelothe Stephine, akiwa ndani ya wodi namba moja katika Hospitali ya mkoa ya Ligula, alipokwenda kuwaona majeruhi wa ajali ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya...
View ArticleMTANZANIA APATA NAFASI KUCHEZA TIMU YA COLORADO RAPIDS LIGI YA MAREKANI MLS
Albert Edward jezi nyekundu na bukta nyeupe # 2 mgongoniName: Albert EdwardPosition: DefenderAge: 22Date of Birth: November 19th, 1991Birth Place: Dar es Salaam, TanzaniaCitizenship:...
View ArticleKIPANYA HAKOSI LA KUSEMA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleWAZIRI WA AFYA NA NAIBU WAKE WALIVYORIPOTI KAZINI
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid akipokea ua kama isharaya kukaribishwa tena kwenye wizara hiyo, awali dkt. Seif alikuwa Naibu Waziri kwenye wizara hiyo.Waziri wa afya na Ustawi wa...
View ArticleRATIBA YA MAZISHI YA MBUNGE WA CHALINZE MAREHEMU SAID BWANAMDOGO
Marehemeu Mhe. Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wakePata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleDARAJA LA DUMILA LASOMBWA NA MAJI
Maelfu ya abiria wamekwama katika barabara kuu ya Morogoro-Dodoma, na kulazimika kusitisha safari zao, baada ya mvua kubwa zilizonyesha usiku wa kuamkia siku ya Jumatano, kusababisha mafuriko makubwa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS JANUARY 23, 2013
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAARIFA MUHIMU KWA WAAFUNZI WALIOCHAGULIWA KWENDA MASOMONI MSUMBIJI (TAMOSE...
TAARIFA MUHIMU KWA WAAFUNZI WALIOCHAGULIWAKWENDA MASOMONI MSUMBIJI (TAMOSE 2014)1. Wanafunzi wote waliochaguliwa kwenda Msumbiji 2014 wanataarifiwa kuwa Mafunzo ya Lugha ya Kireno yataanza wiki ya...
View ArticleMANCHESTER UNITED YAPOKEA KICHAPO KIKALI KUTOKA KWA SUNDERLAND
Wachezaji wa Sundrland wakishangila baada ya kuifunga manchester United na kutinga fainali ya kombe la Capital One CupPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...
View ArticleHII NDIO HALI HALISI YA DALAJA LA DUMILA BAADA YA MVUA KUNYESHA
Umati wa watu wakishuhudia daraja maeneo ya Dumila lililoharibika kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana Jumatano january 22, 2014 mkoani Morogoro. Sehemu ya daraja la Dumila mkoani Morogoro...
View ArticleUSAJILI WA EMMANUEL OKWI WAZUIWA YANGA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka Uganda katika timu ya Yanga wakati likisubiri ufafanuzi kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa...
View Article