Umati wa watu wakishuhudia daraja maeneo ya Dumila lililoharibika kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana Jumatano january 22, 2014 mkoani Morogoro.
Sehemu ya daraja la Dumila mkoani Morogoro lilivyoharibia kutaokana na mvua kubwa iliyonyesha jana Jumatano January 22, 2014.
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Wakazi wa Dumila wakishuhudia daraja hilo mkoani Morogoro lilivyoharibiwa na mvua kubwa iliyonyesha jana Jumatano January 22, 2014.
Daraja la Dumila likiwa limeharibiwa vibaya na mvua kubwa iliyonyesha jana Jumatano January 22, 2014.
sehemu ya juu ya daraja la Dumila linavyoonekana baada ya kuharibika vibaya baada ya mvua kubwa kunyesha jana Jumatano January 22, 2014.