Taarifa zilizotufikia Katika Meza yetu ya mtandao huu, hivi punde kutoka kwa Mdau wetu zinasema kuwa Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndugu wa marehemu
Habari zaidi tutajuzana kadri zinavyotufikia