Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAPILI JANUARY...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITENDAWILI CHA BARAZA LA MAWAZIRI KUTEGULIWA LEO?

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue  Ikulu yafanya uteuzi, kuhamisha Makatibu Tawala  Wamo Chambo, Dk. NdunguruKatibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, leo anakutana na vyombo vya habari Ikulu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANDISHI WA BBC KOMLA DUMOR AFARIKI DUNIA

Mwandishi wa BBC Komla Dumor amefariki ghafla nyumbani kwake kutokana na mshtuko wa moyo.Alikuwa na miaka 41 alipopata mauti yake.Komla Dumor ameelezewa kuwa miongoni mwa waandishi shupavu barani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LATAJWA HIVI SASA

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LINATAJWA HIVI SASA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM NA NA KATIBU MKUU KIONGOZI,BALOZI OMBENI SEFUE.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU JANUARY 20, 2014

MAGAZETI MENGINE YANAKUIJIA HIVI PUNDEPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA MAWAZIRI LILITANGAZWA WAKATI DR.MAGUFULI AKIKAGUA DARAJA LA KIGAMBONI

ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHININA MICHUZI BLOGPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA KWA MECHI ZILIZOCHEZWA JANA...

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE UNA UWEZO WA KUSHAWISHI WATU WENGINE WAAFIKIANE NA MAWAZO YAKO?

Nilipofikiria kuandika makala kuhusu uwezo wa kushawishi watu wengine wakubaliane na mawazo yetu niliingiwa na shaka kuwa huenda baadhi ya watu wasione umuhimu wa mtu kuwa na stadi kama hizo. Iwapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA MAWAZIRI: JK ATEMA WATANO, WAPYA NI 10

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akitangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, Picha na Edwin Mjwahuzi Dar es Salaam. Rais Jakaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPADATES: AJALI YA LORI NA NOAH YAUA 13 SINGIDA

 Imetokea ajali mbaya huko Singida ambapo gari aina ya NOAH na Lori la mizigo yamegongana uso kwa uso na kisha gari hiyo aina ya NOAH kuingia chini ya uvungu wa Lori na kusababisha vifo vya watu hao 13...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MREMBO WA UINGEREZA ADAI KUWA NA UJAUZITO WA DAVIDO NA ANATARAJIA MAPACHA

Msichana mrembo aishie Uingereza, aliyetajwa kwa jina la Sunshine Haye, amejitokeza na kudai kuwa na ujauzito wa mkali wa ‘Skelewu’, Davido na kwamba anatarajia watoto mapacha.Kwa mujibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NI KWELI NDOA YA BARACK NA MICHELLE OBAMA IPO MATATANI AU HABARI HII...

 Wakati ambapo rais wa Ufaransa, Francois Hollande na First Lady, Valerie Trierweiler wanahangaika kuuweka sawa uhusiano wao kufuatia tuhuma za Hollande kuwa na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji Julie...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: MAGARI YAGONGANA MBALIZI MBEYA MUDA HUU

Watu mbalimbali wakiwa wanashangaa ajali hiyo iliyosababisha Gari moja kugonga magari mengine zaidi ya matano.(Picha na Joseph Mwaisango) Watu wakiwa wanaongezeka kushuhudia ajali hiyo ENDELEA KUSOMA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: BALAA JINGINE MBALIZI, NYUMBA ZAIDI YA 20 ZAPITIWA NA KIMBUNGA

Habari zaidi inakuijia hivi pundeAthari za kimbunga ni kama inavyoonekana eneo la stendi ya Tarafani eneo la Mbalizi wilaya ya Mbeya Vijijini mkoani Mbeya. Nyumba za watu zaidi ya 20 wamekosa mahali pa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAJESHI FEKI ATIWA MBARONI TANGA AKIMTAPELI DC

'Koplo' feki wa JWTZ akiwa ofisini kwa mkuu wa wilya. 'Koplo' feki akiwa na pamoja na Luteni Yahya Wangwe na Mteule daraja la pili Albano Semfuko.ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBFYA HAPA CHINI 'Koplo'...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJIWE CHA UGHAIBUNI KESHO JUMANNE

Kesho Jumanne Jan 21, 2014a Benja, Yassin na Jabir watakuletea Kijiwe cha Ughaibuni cha kuwaga mwaka 2013 usikose.Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 9 WAFARIKI DUNIA NA 30 KUJERUHIWA KATIKA AJALI MKOANI LINDI LEO

BASI Likiwa limeanguka na maiti bado zilikuwa hazijatolewa chiniKamishna msaidizi wa Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi,Renatha Mzinga akisimamia zoezi la kuinua basi hilo kwa ajili ya utoaji wa Maiti  9 za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE JANUARY 21, 2013

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOMANDO HAMZA KALALA USO KWA USO NA KAMANDA RAS MAKUNJA

Juzi Kati ndani ya studio za Sibuka FM,Katika kipindi cha Pepeta Afrika, mgeni rasmi nyota wa wiki alikuwa kamanda Ras Makunja kiongozi wa bendi maarufu barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI JANA IKULU WAKATI RAIS KIKWETE AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb) Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ikulu jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>