UPDATES: UJAMBAZI WA KUTUMIA SILAHA WATIKISA ZANZIBAR
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Kamanda Mkadam Khamis Mkadam akionesha bastola iliyotumia katika uhalifu wa kumpora fedha mfanyabiashara katika maeneo ya rahaleo Zanzibar ikiwa na risasi zake...
View ArticleBREAKING NEWS: REPOTI YA CAG YAMWAJIBISHA MEYA WA MANISPAA YA BUKOBA, ANATORY...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick S.L. Utouh. akisoma ripoti ya CAG kwenye halmashauri ya mansipaa ya Bukoba leo. Naibu waziri wa TAMISEMI, Mh. Aggrey Mwanri akizungumza...
View ArticleMH. MAHANGA ABURUZWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUKIUKA SHERIA ZA AJIRA
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana akishuka katika kazi za mahakama ya kazi, Tume ya Usuluhishi na Upatanishi wiki iliyopita siku ya Jumanne jijini Dar es Salaam. Bi. Itika Kasambala...
View ArticleTAZAMA HAPA PICHA ZA MBWA WANAVYOTUMIKA KAMA MODELS KATIKA ONESHO LA MAVAZI...
Kituo kimoja kinachohusiana na makuzi na malezi ya mbwa (Greyhounds) kimewapeleka mbwa waliotumika kama models katika kampeni ya kutangaza label ya Kiitalino iitwayo Trussardi. Hizi ni picha za mbwa...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO MKOANI DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama sehemu ya jengo la Kituo cha Polisi cha kijiji cha Chipogoro wilayani Mpwapwa ambayo imeporomoka kufuatia mafuriko yaliyokikumba kijiji hicho kufuatia mvua kubwa...
View ArticlePICHA YA LEO: HIVI HUYU ANAPAONA ANAKOKWENDA
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleANUSURIKA KUCHINJWA KATIKA UGOMVI WA WAKULIMA WILAYA YA KITETO
Bahati (katikati) akiwa hospitalini na baadhi ya wajeruhiwa wa mgogoro baina ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Kiteto.Picha na Musa Juma. Kiteto:Bahati ni kweli ana bahati kama jina lake lilivyo...
View ArticleWANACHUO WA CHUO KIKUU CHA ST.JOSEPH SONGEA WAGOMA
WANACHUO wa Chuo kikuu cha St,Joseph tawi la Songea wamegoma kuingia madarasani na kutoka kufanya shughuli za aina yeyote ndani ya chuo hicho huku wakiwa wamebeba mabango yaliyoandikwa jumbe mbalimbali...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JANUARY 18, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePINDA KUITIA HASARA SERIKALI
Sehemu ya Barabara ya Mlandizi- Chalinze, ikiwa imeharibika kutokana magari makubwa kuzidisha uzito na kusababisha uharibifu huo.Picha na Maktaba Dar es Salaam: Uamuzi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda...
View ArticleTAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI JANUARY...
ENDELEA KUTIZAMA MECHI ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleRAIS KIKWETE AOZESHA MWANAYE
Miraji Kikwete na Aima Mahmoud wakiondoka kwenye ukumbi wa Mlimani City baada ya kufunga ndoa yao jana. Picha na Florence Majani Shamra shamra na nderemo zilitawala jana kwenye Ukumbi wa Mikutano wa...
View ArticleHALI YA MICHAEL SCHUMACHER YAANZA KUIMARIKA
Hali ya dereva bingwa wa zamani wa mbio za magari (Formula One), Michael Schumacher imeanza kuimarika kufuatia ajali mbaya aliyoipata December 29 mwaka jana na kumfanya apoteze fahamu kwa kipindi...
View ArticleHII NDIO ALAMU YA SAA ISIYOPIGA KELELE NA KUSUMBUA WATU WENGINE
"Earlarm Device" ni kifaa kilichotengenezwa nchiniKorea KusininaKyungmi Moon akishirikiana na wenzake Doyun Kim na Jinyong Park. Kifaa hiki cha "Earlarm Device"kimetengenezwa ili alamu inapotoa...
View ArticleMIFUKO YA NAILONI YAUA MIFUGO 500 DODOMA
IDADI ya mifugo inayokufa kwa kula mifuko ya nailoni inazidi kuongezeka katika Kata ya Hombolo. Diwani wa Kata ya Hombolo Manispaa ya Dodoma, Mussa Kawea katika mahojiano na mwandishi wa habari hizi...
View ArticlePICHA YA LEO: BARABARA YA MAGARI YAENDAYO KASI ZAGEUKA KUWA MADAMPO
Hii ni Barabara Mpya kabisa ya Magari yaendayo kwa kasi Jijini Dar es salaam ambapo sasa Baadhi ya maeneo yamegeuka Madampo ya kutupia takataka kama inavyo onekana pichani.Ina maana uongozi wa jiji...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI JANUARY 19, 2014
KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA HAPA MATOKEO YA MECHI ZA LIGI YA UINGEREZA ZILIZOCHEZWA JANA PAMOJA NA...
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSERIKALI YAWABEBA WALIOFELI KIDATO CHA PILI
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa. Picha na Maktaba Dar es Salaam. Wakati Watanzania wakisubiri matokeo ya kidato cha pili mwaka 2013, imebaini kuwa Serikali imetoa agizo...
View ArticleKANUSHO LA DKT. CYRIL AUGUST CHAMI KUHUSIANA NA YANAYOELEZWA KWENYE MTANDAO...
Naitwa Cyril August Chami (PhD) Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini na Mjumbe wa NEC-CCM kupitia Wilaya ya Moshi Vijijini.Nimesikitishwa na kufadhaishwa sana na mtu au watu waliotengeneza akaunti kwa...
View Article