$ 0 0 Hii ni Barabara Mpya kabisa ya Magari yaendayo kwa kasi Jijini Dar es salaam ambapo sasa Baadhi ya maeneo yamegeuka Madampo ya kutupia takataka kama inavyo onekana pichani.Ina maana uongozi wa jiji hamjaliona hili? Picha na Fredy Njeje