Kituo kimoja kinachohusiana na makuzi na malezi ya mbwa (Greyhounds) kimewapeleka mbwa waliotumika kama models katika kampeni ya kutangaza label ya Kiitalino iitwayo Trussardi. Hizi ni picha za mbwa hao waliotumika katika kampeni hiyo.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
SOURCE: DAILY MAIL