Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick S.L. Utouh. akisoma ripoti ya CAG kwenye halmashauri ya mansipaa ya Bukoba leo.
Naibu waziri wa TAMISEMI, Mh. Aggrey Mwanri akizungumza wakati wa ripoti ya CAG kwenye manispaa ya mji wa bukoba leo
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Kanali Mstaafu Fabian Massawe akizungumza kwenye kikao hicho
Wa kwanza kulia ni Meya wa Manispaa ya Bukoba, Bwana Anatory Amani aliyewajibishwa kwenye ripoti ya CAG na pia inamtaka ajiuzuru
Kikao kikiendelea
PICHA NA BUKOBAWADAU BLOG