"Earlarm Device" ni kifaa kilichotengenezwa nchiniKorea KusininaKyungmi Moon akishirikiana na wenzake Doyun Kim na Jinyong Park. Kifaa hiki cha "Earlarm Device"kimetengenezwa ili alamu inapotoa sautiisimsumbue mtu yeyote bali mtu husika tu. Alamu hii iliyopewa jina la Earlarm ambayo inakuwa na headphone ambazo zinakuwa zimeunganishwa kwa kutumia broototh ya Simu ambayo ni smartphone.
Alamu hii imetengenezwa kwa kuunganishwa kwenye aplication za simu za smartphone ambazo zinaweza kutoa taarifa kwa muhusika bila kumsumbua mtu mwingine.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Headphone hizo huvaliwa masikioni ambapo zinakuwa zimeunganishwa kwenye saa ya alamu kwa kupitia broototh ya simu. Hivyo mtu anapolala kama anatakiwa kuamka muda fulani huweza kumwamsha bila kuwapigia kelele wenzake.
DAILY MAIL