UTAFITI: ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA BAADHI YA WANAUME KUWA NA MPENZI WA NJE.
1.Kutaka kujua inauzuri gani kuwa na mwanamke mwingine nje ya huyu aliyenae. Kama ana mpenzi mnene basi anataka tu kujua wanawake wembamba wakoje?2.Jamii Yetu Kuhisi ni Ruksa kwa mwanaume kuwa na...
View ArticleSHIRIKA LA NYUMBA TANZANIA (NHC) LAKARABATI SHULE YA HASSANGA JIJINI MBEYA.
Meza kuu Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akikata utepe kuzindua ukarabati wa Madarasa manne na Jengo moja la Utawala katika Shule ya Msingi Hasanga uliofanyika leo Uyole...
View ArticleMMOJA NA WENZAKE WAWILI MBARONI KWA KUKUTWA NA PEMBE ZA NDOVU MKOANI DODOMA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACPNa. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia mtu mmoja...
View ArticleNYANI AWAGAWIA WATU PESA NCHINI INDIA
Nyani hawa aina ya Macaque huabudiwa na watu nchini IndiaNyani mmoja katika jimbo la Himachal Pradesh Kaskazini ya India, amewagawia watu pesa taslimu kutoka mtini.Taarifa zinasema kuwa watu waliokuwa...
View ArticleRITA NA NBS WAENDESHA MAFUNZO YATAKAYOWEZESHA KUFANYA TATHMINI YA KINA YA...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Bw. Eliya Ntandu akifungua mafunzo ya siku sita ya maofisa watakaoshiriki katika Tathmini ya kina ya Matukio Muhimu ya Mwanadamu. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS SEPTEMBA 4, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleTAZAMA VIDEO MPYA YA C PWAA - "CHEREKO CHEREKO"
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleKIJIJI CHA NOUSHAD BAITRAIS CHA TEKETEA KWA MOTO HUKO ZANZABAR
Hali ndiyo hilikuwa hivi huko Zanzibar katika kijiji cha Baitrais kinachomilikiwa na Noushad aliekuwa mfadhili wa timu ya Malindi ya Unguja. Kwa wale wakazi wa Bububu wanaweza kupata taswira ya kijiji...
View ArticleJESHI LA POLISI LATOA ONYO KALI KWA WANAOTUMIAJI VIBAYA MITANDAO
MSEMAJI wa Jeshi la Polisi, Advera Senso akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Septemba 3,2014 kuhusu kupiga marufuku watu wanaotumia mitandao kinyume na taratibu.HABARI/PICHA NA...
View ArticleNENO LA LEO MTAANI KWETU
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA BIBI YAKE RAIS OBAMA WA MAREKANI, JIJINI NAIROBI LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani, Mh. Barack Obama, Mama Sarah Obama walipokutana leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete...
View ArticleMAGAZETI YA LEO IJUMAA SEPTEMBER 05, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleCHADEMA YAANZA MCHUJO WA WAGOMBEA WAKE
Mkurugenzi wa Organizesheni, Mafunzo na Uratibu wa Kanda wa Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Singo Kigaila Benson akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati akitamngaza...
View ArticleMTOTO WA BABA WA TAIFA NA VITALIS MAEMBE KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGIA...
Afisa Habari wa shirika lisilo la kiserikali la Culture and Development East Africa (CDEA), Mandolin Kahindi akitambulisha viongozi wa CDEA kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) pamoja na dhumuni la...
View ArticleWASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS ILALA 2014 WATAMBULISHWA RASMI KWA MASHABIKI WA...
Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao huku wakiongozwa na Mary Lucos (kushoto) katika show zao za kila Ijumaa kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar bila kusahau leo pia...
View ArticleGARI AINA YA TOYOTA LAV4 L INAUZWA
Gari inauzwa kwa bei nzuri tu na ipo Dar kwa atakayeipenda tuwasiliane kupitia mawasiliano hapo chiniSPECIFICATIONS ZA GARI HIYO NIMAKER: TOYOTAMODEL: LAV4 LYoM: 2005CC: 2500Odo: 81,993...
View ArticlePICHA: HII NDIO HALI HALISI YA SHULE YA MSINGI YA MAKULU ILIYOPO MKOANI DODOMA
Wanafunzi wa Darasa la tatu wa shule ya msingi Dodoma Makulu wakiendelea na masomo huku wakiwa wamekaa chini, Shule hiyo imekuwa na tatizo la k,utokuwa na madawati kuanzia ilipojengwa mwaka 1954, kwa...
View ArticleMH. NASSARY ASHIRIKI KAZI ZA MIKONO NA WANANCHI KWA UJENZI WA BARABARA YA...
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary (anaeonekana kunyanyua kitu) akishirikiana na baadhi ya Wananchi wa vijiji vya Ushili na Sura Arumeru Mashariki kuchimba sehemu inayotakiwa...
View ArticleTAHADHARI YA MVUA ZA MAAFA KWA KIPINDI CHA OKTOBA - DISEMBA 2014 NCHINI
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleHIZI SIO SABABU ZA KUZIFUATA UNAPOCHAGUA TAALUMA
Kuchagua taaluma ni kufanya maamuzi ya maisha yako jinsi unavyotaka yaende. Kama yalivyo maamuzi mengine makubwa unahitaji kutumia muda wa kutosha kutafakari na kufanya maamuzi kulingana na vyanzo vya...
View Article