Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: AJALI YATOKEA MAGU MKOANI MWANZA BAADA YA MABASI MAWILI KUGONGANA

 Basi la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Silari Mkoani Mara likiwa limeumia vibaya sana baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: RAIS KIKWETE NA MAOFISA NA WAPIGANAJI WAKATI WA UFUNGAJI WA ZOEZI LA...

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi (wa tatu kushoto) , Katibu Mkuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: YALIYOJIRI JANA KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongeza Bunge hilo jana tarehe  5 Septemba, 2014 mjini Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fatma Hamid Saleh akiwasilisha taarifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI SEPTEMBER 06, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: MSAFARA WA MAALIM SEIF WAPATA AJALI

 Makamu wa kawanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamadi.Habari zinasema msafara wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamadi umepata ajali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: MARIO BALOTELLI AANZA VITUKO VYAKE, AZOZANA NA REFA CHRIS FOY

 Mshambuliaji Mario Balotelli mwenye umri wa miaka 24, aliyehamia Anfield kutoka AC Milan kwa Pauni milioni 16 mwezi uliopita, jana alitolewa nje katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Wolves baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHAJI ZA MIAKA 50 YA JWTZ

Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za kutunuku nishani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK MWAKYEMBE AAMURU KUFUNGIWA MABASI YALIYOSABABISHA AJALI MKOANI MARA

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe (Picha na Maktaba).Waziri wa Uchukuzi, Dk Harisson Mwakyembe ameagiza makampuni ya Mabasi ya  J4 Express  na  Mwanza Coach yafungiwe mara moja.Akizungumza na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YAITUNGUA GOR MAHIA BAO 3-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR

 Kikosi cha Gor Mahia. Kikosi cha Simba.ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA UBOFYA HAPA CHINIWachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 3-0 katika mchezo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI WAWILI WAUWAWA KATIKA TUKIO LA KUVAMIWA KITUO CHA POLISI USHIROMBO GEITA

Askari wa wawili wa Jeshi la Polisi kituo Kikuu cha Ushirombo kilichopo Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wafefariki huku wengine wawili wakijeruhiwa baada ya kundi la majambazi kuvamia kituo hicho usiku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPYAAA: BENKI KUU YA TANZANIA IMETOA TOLEO JIPYA LA SARAFU YA SHILINGI 500

Mkurugenzi Huduma za Kibenki kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Emmanuel Boaz(wa kwanza kulia) akiwaeleza waandishi wa habari(Hawapo Pichani) sababu zilizopelekea kutoa toleo jipya la sarafu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR.KHAMIS KINGWANGALLAH ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015 SOMA HAPA...

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akitangaza nia yake ya kugombea urais waJamhuri ya Muungano ya Tanzania wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EPUKA MAMBO HAYA KAMA MPENZI WAKO YUKO FACEBOOK

1.Kuendelea kutunza “status”  isemayo kwamba hauna mpenzi  yaani “single”. Au “Its  complicated” wakati tayari uko  kwenye mahusiano. 2.Kuendelea kuwa na picha za mwenza wako ulieachana nae (ex)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO: WAHUSIKA MMELIONA HILI MAANA NI HATARI

Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS:TFF YASEMA OKWI NI MCHEZAJI HALALI WA SIMBA

OKWIKamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo (Septemba 7 mwaka huu) na kupitia masuala mbalimbali ikiwemo mgogoro wa kimkataba kati ya klabu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: JESHI LA POLISI MKOANI GEITA LAKAMATA BUNDUKI SABA ZILIZOPORWA...

 Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Jeshi la polisi mkoani  Geita limekamata bunduki saba (pichani) na mabomu kadhaa ya machozi eneo la Ushirombo wilaya ya Bukombe ikisadikiwa kuwa ni kati ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATATU SEPTEMBER 08, 2014

ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GREEN WASTE PRO ltd WAENDESHA KAMPENI YA WIKI TATU YA KUFANYA USAFI KATIKATI...

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya usafi iliyopewa zabuni ya kusafisha Manispaa ya Ilala Green Waste Pro Ltd. Bw. Anthony Mark Shayo (aliyebeba jiwe) akishiriki zoezi hilo.Zoezi la usafi likiendelea ikiwemo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA DANCE YALIYOANDALIWA NA UDO YAFANYIKA KWENYE CLUB YA MAISHA...

 Ton Dougue(katikati) akicheza  wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Dance yaliyoandaliwa na UDO(United Dance Orgarnisation) yaliyofanyika kwenye club ya Maisha Club ya jijini Dar. Mc wa mashindano ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR NYAMA CHOMA FESTIVAL

Sam Mapenzi, Joniko Flower na Hashim Donode wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika miwshoni mwa juma katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es...

View Article
Browsing all 16395 articles
Browse latest View live