MAGAZETI YA LEO JUMATATU SEPTEMBER 01, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleSHIRIKA LA TANESCO LISIKIKILIZE KILIO CHA WAKAZI WA MWANAGATI-KITUNDA
Wananchi wa Mwanagati-Kitunda jijini Dar es Salaam na maeneo jirani wamelilalamikia shirika la TANESCO kwa kukatiwa umeme kwa siku tatu mfululizo, bila taarifa yoyote kutolewa kwa wakazi...
View ArticleUTAFITI WAIBUA MAKUBWA NGONO ZA UTOTONI DAR
Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto) akizungumza na...
View ArticleYAMOTO BAND YAFANYA MAKAMUZI YA NGUVU KWENYE CLUB YA MAISHA JIJINI DAR
Yamoto Band wakiwa kwenye picha ya pamoja katika redcapert Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Temba akiwa na Yamoto bendi katika redcapert ndani ya club Maisha ya jijini Dar. Mkubwa na wanawe pamoja na...
View ArticleMRADI WA MAJARIBIO WA KUFUNDISHA MASOMO YA SAYANSI WA UNESCO WANEEMESHA TANZANIA
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akisoma risala ya kufungwa kwa mradi huo ambao uliojulikana kama Micro...
View ArticlePONGEZI KWA JWTZ KWA KUTIMIZA MIAKA 50 TOKEA KUANZISHWA
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa kwenye maonyesho Katika Uwanja wa Taifa.Picha na Maktaba.ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINIAskari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania...
View ArticleSOKA FESTIVAL MASSACHUSETTS CHINI YA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW...
Watanzania wa Massachusetts wakijumuika pamoja kwenye Soka Festival inayofanyika kila mwaka wakati wa majira ya joto.Mkuu wa Wilaya ya Springfield Alhaji Isaac Kibodya katika picha ya pamoja na...
View ArticleELIHURUMA NGOWI JOINS SERENGETI BREWERIES LTD
Mr. Elihuruma Ngowi has joined Serengeti Breweries Ltd. as Brand Manager with a profound experience in Customer Care, Marketing and Sales after having spent over eight (8) years at Vodacom Tanzania...
View ArticleDALILI TANO ZINAZOONYESHA ULICHAGUA TAALUMA ISIYOKUFAA
Umesikia watu wakisema“wanajifunza kutakana na makosa” ni kweli kwamba kila ufahamu tunaoupata unatokana na makosa tuliyokwisha kufanya wakati fulani. Lakini utasema nini pale ambapo unafanya taaluma...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA KILIMO AZINDUA VIKOBA MKOANI DODOMA
Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Godfrey Zambi akifafanua jambo wakati alipokuwa alipokuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa vicoba mkoani Dodoma uliofanyika katika viwanja vya Nyerere....
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMANNE SEPTEMBER 2, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA BARABARA YA DODOMA-FUFU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiweka jiwe la msingi kuashiraia ufunguzi rasmi wa barabara ya Dodoma- Iringa sehemu ya kutoka Dodoma - Fufu...
View ArticleUTAFITI: HIZI NDIZO DALILI ZINAZOONESHA KWAMBA MPENZI WAKO AMEANZA MAHUSIANO...
Mwaka 2012 ulifanyika utafiti Uliogundua kwamba asilimia 30 mpaka 50 (30%-50%) ya wanawake wangekubali kuwa na mwanaume mwingine endapo tu watathibitishiwa kwa asilimia mia moja (100%) kwamba wapenzi...
View ArticleKAMPUNI YA UJERUMANI YAELEZEA KIINI CHA VURUGU KWENYE SHOW YA DIAMOND,...
Kampuni ya Britts Event iliyohusika kuandaa show ya Diamond Stuttgart, Ujerumani imeeleza kwa kina kiini cha vurugu kubwa zilizotokea kwenye show hiyo na kusababisha uharibifu mkubwa huku baadhi ya...
View ArticlePICHA: HARUSI YAFANYIKA NDANI YA MAJI NCHINI CHINA
Katika mtaa,mdogo wa Shanghai, kilichokuwa kiwanda cha kushona nguo sasa kimegeuka, ishara ya mabadiliko ya kuchumi yanayoshuhudiwa nchini China.Katika eneo hili, wafanyakazi walikuwa wanafanya kazi...
View ArticleMWANAMKE AGONGWA NA DALADALA ENEO LA UBUNGO MAJI JIJINI DAR
Wasamalia wema wakijaribu kuokoa maisha ya dada aliyegongwa na gari (daladala) maeneo ya Ubungo maji wakati akivuka barabara. Mwanamke mmoja (jina halijafahamika) aliyekuwa anavuka barabara ya...
View ArticleAFISA FEKI WA USALAMA WA TAIFA AKAMATWA NA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA...
Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akiwaonesha waandishi wa habari silaha zilizokamatwa na jeshi ilo Silaha zilizokamatwa na jeshi la polisi ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO SEPTEMBER 03, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleAYSHA CHEYO NDIYE MISS TANZANIA USA PAGEANT 2014
Miss Tanzania USA Pageant wa 2013 Joy Kalemera akimvisha taji miss Tanzania USA pageant 2014 Aysha Cheyo siku ya Jumamosi Aug 31, 2014 Baada ya kunyakua taji hilo kwenye mashindano ya umiss...
View ArticlePICHA: MWANDISHI MWINGINE 'ACHINJWA' NA KIKUNDI CHA ISIS
Mwandishi aliyechinjwa na ISIS Steven Sotloff.Wapiganaji wa dola ya Kiislam ISIS wamesambaza picha za video katika mitandao kwa lengo la kuonyesha kuchinjwa kwa mwandishi wa habari raia wa Marekani...
View Article