Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

KIJIJI CHA NOUSHAD BAITRAIS CHA TEKETEA KWA MOTO HUKO ZANZABAR

$
0
0

Hali ndiyo hilikuwa hivi huko Zanzibar katika kijiji cha Baitrais kinachomilikiwa na Noushad aliekuwa mfadhili wa timu ya Malindi ya Unguja. Kwa wale wakazi wa Bububu wanaweza kupata taswira ya kijiji hicho cha Baitrais kwani kilikuwa barabarani ukielekea Bububu.
Chanzo cha moto huo kinasemekana kuwa ni shoti ya umeme

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>