Wanafunzi wa Darasa la tatu wa shule ya msingi Dodoma Makulu wakiendelea na masomo huku wakiwa wamekaa chini, Shule hiyo imekuwa na tatizo la k,utokuwa na madawati kuanzia ilipojengwa mwaka 1954, kwa sasa ina wanafunzi 1480 ikiwa na vyumba vya madarasa 9 yanayotumika.(Picha na John Banda)
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Huu ni muonekano wa nje wa Choo kinachotumiwa na wanafunzi wa shule ya msingi Dodoma Makulu iliyopo manispaa ya Dodoma hali inayotishia afya za wanafunzi kutokana na hufu ya mlipuko wa magonjwa ya kuambukiza yakiwemo kipindupindu kutokana na uchafu.
Choo hicho kinavyoonekana kwa ndani.