Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MH. NASSARY ASHIRIKI KAZI ZA MIKONO NA WANANCHI KWA UJENZI WA BARABARA YA SAWMILL- USHILI MPAKA SURA,ARUMERU MASHARIKI

$
0
0
 Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary (anaeonekana kunyanyua kitu) akishirikiana na baadhi ya Wananchi wa vijiji vya Ushili na Sura Arumeru Mashariki kuchimba sehemu inayotakiwa kupita barabara ya Sawmill- Ushili mpaka Sura.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary akiendelea na kazi hiyo kwa kushirikiana na Wananchi wake.


ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Kazi ikiendelea.

Mapumziko kwa chakula cha mchana mara baada ya kuchapa kazi ya kutengeneza barabara.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>