TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA KUHUSU MAPIGANO YA WANAKIJIJI WILAYA...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACPNa: Peter Simon wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawasaka watu wawili kwa...
View ArticleM-COLOMBIA AKAMATWA COCAINE ALIZOKUWA AMEZIVAA NGUONI UWANJA WA NDEGE WA...
Mkuu wa Kikosi cha Kupambana na Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa akionesha Cocaine zilizokuwa zimefichwa katika mkanda wa suruali aliyokuwa amevaa raia wa Colombia, Andres Filipe Ballesteros Uribe (28),...
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO AUGUST 13, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMAGUFULI AKAGUA MIZANI YA KISASA YA VIGWAZA MKOANI PWANI PAMOJA NA UJENZI WA...
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliyevaa kofia akipita juu ya Mzani mpya wa Vigwaza Mkoani Pwani ambao ni wa kwanza na wakisasa zaidi kujengwa nchini Tanzania ambao utaruhusu...
View ArticleMTU MMOJA AFARIKI KWENYE AJALI ALIYOTOKEA MOSHI BAADA YA PIKIPIKI KUGONGNA NA...
Pikipiki aina ya Suzuki ikiwa imenasa mbele ya Lori baada ya kugongana uso kwa uso .Ajali imetokea barabara kuu ya Arusha Moshi ikihusisha Lori aina ya Sacania lenye namba za Usajili T 137 ATA na...
View ArticleBREAKING NEWS: KOCHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR ES SALAAM
Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri.Kocha Mzambia Partick Phiri ametua Dar kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuinoa Simba. Yupo njiani kuelekea klabuni hapo akitokea Uwanja wa Ndege.Pata habari motomoto...
View ArticleFILAMU YA "MSHALE WA KIFO" YA AISHA BUI SASA KUTOKA TAREHE 25/08/2014
Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticlePICHA YA LEO: NI MIAKA 53 YA UHURU WA TAIFA LETU LAKINI SHULE BADO ZIKO HIVI...
Shule hii iko mkoani LindiPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMJUMBE BUNGE MAALUMU APIGWA, ALAZWA
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Kundi la 201, Thomas Mgoli akiwa amelazwa katika Hospital ya Mkoa wa Dodoma, jana. Picha na Emmanuel Herman Dodoma. Mjumbe wa Bunge la Katiba, kutoka Kundi la...
View ArticleMPYAA: KENYA KATIKA HATARI YA KUPATA EBOLA
Afisa wa shirika la afya duniani aeleza kuhusu janga la Ebola DunianiShirika la afya duniani, limetahadharisha kuwa Kenya inaweza kuwa katika hatari ya kukumbwa na ugonjwa wa Ebola, kutokana na kasi ya...
View ArticleBREAKING NEWS: MOTO WATEKETEZA MSIKITI ENEO LA KINONDONI
Moto Mkubwa ukiendelea kuwaka katika eneo la juu la Jengo la Shule ya Sekondari ya Kiislam ya Mivumoni (Mivumoni Islamic Seminary) iliyopo ndani ya Msikiti wa Mtambani,Kinondoni B Jijini Dar es Salaam...
View ArticleKIBONDE NA GADNER WAPANDISHWA KIZIMBANI LEO JIJINI DAR
Mtangazaji wa Clouds fm, Ephraim Kibonde na Gadner G Habash Wakiingia katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.NA Mwandishi WetuWATANGAZAJI wawili, akiwemo Ephraim Kibonde (42)...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS AUGUST 14, 2014
ENDELEA KUSOMA MAGAZETI MENGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINIPata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl
View ArticleMKE WA AFANDE SELE 'MAMA TUNDA' AFARIKI DUNIA
Marehemu Asha Msindi enzi za uhai wakeKupitia ukurasa wake wa Facebook Afande Sele amepost taarifa ifuatayo kuhusiana nakifo cha mzazi mwenzake aneitwa Asha au Mama Tunda.Mtandao huu unatoa pole kwa...
View ArticleUPDATES: LORI LA MAFUTA LAANGUKA KIMARA MWISHO NA KUZIBA NJIA
Wananchi wengine waiona ajali hii kama 'neema' na kuanza kuchangamkia mafuta yaliyomwagika.GARI lenye namba T748 ABJ lililokuwa limebeba mafuta ya diseli kutoka Dar es Salaam kwenda Singida, limeanguka...
View ArticlePICHA: WASANII WATAKAOSHIRIKI KATIKA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014...
Mkurugenzi wa ufundi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Bwana Ruge Mutahaba (kushoto) akiwa Bwana Willy O. Ruta katika ardhi ya bukoba mara baada ya kufika hapo ili kuhakikisha shughuli ya Serengeti...
View ArticleSERIKALI YATAKIWA KUTIMIZA AHADI ZA UJENZI WA ZAHANATI KWA KILA KATA
Diwani wa kata ya Ololosokwani na Mkurugenzi wa Irkiramat Foundation (RAMAT) Bw. Yannick Ikayo Ndoinyo akiangalia kitanda cha kujifungulia wakimama kwenye Zahanati ya Sero ambayo kwa siku inatibu...
View ArticleMISS ILALA 2013 DORICE MOLLEL ATEMBELEA KAMPUNI YA KUTENGENEZA UMEME WA GESI...
Bw. Karl Heinz Knoop akielezea historia fupi kuhusu kampuni yake kwa wanafunzi wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere akiwemo Miss Ilala 2013 Dorice Mollel wanaoshiriki program ya mwezi mmoja nchini...
View ArticleMH. LOWASSA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada wakati alipo mtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na...
View ArticleDAKTARI FEKI ASABABISHA KIFO CHA MGONJWA MKOANI SINGIDA
Mtu Mmoja aitwae bwana Prosper Simson aliyejifanya Daktari amesababisha Kifo cha mgonjwa kwa kumuwekea Drip Tisa zenye dawa wilayani Ikungi mkoani SingidaVitendo vya watu kujifanya watumishi wa idara...
View Article