Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: WASANII WATAKAOSHIRIKI KATIKA TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 WAWASILI LEO BUKOBA

$
0
0
Mkurugenzi wa ufundi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Bwana Ruge Mutahaba (kushoto) akiwa Bwana Willy O. Ruta katika ardhi ya bukoba mara baada ya kufika hapo ili kuhakikisha shughuli ya Serengeti Fiesta 2014 inaenda vizuri.

 Ommy Dimpoz akishuka kwenye kwenye ndege mara baaada ya kuwasili ndege hiyo Mjini Bukoba tayari kwa makamuzi katika mwendelezo wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta, Tamasha linalotarajiwa kufanyika kesho siku ya Ijumaa katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

Chistian Bella akishuka kutoka kwenye ndege mara baada ya kutua uwanjani hapo .

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Dj Ziro(mwenye t-shirt nyeupe) langoni mwa ndege akiwa na mwanadada mtangazaji wa Clouds Tv Shadee (mbele)
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Jux akiwasili .
Ney wa Mitego.
Barnaba.
Willy Kiroyera (kushoto, akiteta jambo na Ruge Mutaaba kwenye Uwanja wa Ndege leo Asubuhi
Wakibadilishana mawazo kwenye chumba cha mapumziko mara baada ya kushuka kwenye ndege.
Wakiteta jambo 
Jux na Stamina
Fiesta 2014 Bukoba ni shidaaaaa

Linah akiwa kwenye picha ya pamoja na wenzake
Barnaba akipeana Hi na Dj Fetty
Mr. Blue nae ndani. Picha na Bukoba Sport Blog


Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>