$ 0 0 Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri.Kocha Mzambia Partick Phiri ametua Dar kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuinoa Simba. Yupo njiani kuelekea klabuni hapo akitokea Uwanja wa Ndege.